Picha: Shujaa wa Tanganyika anayetetea rasilimali za Watanganyika toka enzi na enzi

Maisha faragha ya mtu sie yanatuhusu nini, kula na kuliwa wanafanya hivyo wengi tu. Tujikite kwenye mjadala hayo ya kunyandua si issue
Maadili mema ya kiongozi huanzia kwenye ngazi ya familia,hata hilo hulijui? Au mahaba yako kwa huyo mtu ndio yanakutoa ufahamu?
 
Maadili mema ya kiongozi huanzia kwenye ngazi ya familia,hata hilo hulijui? Au mahaba yako kwa huyo mtu ndio yanakutoa ufahamu?
hapana, kuhusu maadili ya familia wengi hawana na ni waheshimiwa. Kule tu kuishi bila mume/mke wakati huna tatizo la maumbile/afya ni ukosefu wa maadili. Kuhusu kusanua mambo ya faraghani wengi wanafanya mpaka wanavuka mipaka. Tuangalie maadili ya uongozi
 
Mbona hata Bibi yenu alikuwa anatufunwa zero brain Bashite!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…