Picha: Snura Mushi ajifungua mtoto wa kiume

kuficha mimba kawaida ila kumficha mtoto jamani......mmh asifanye hvyo.....

Hawanaga baba ndo maana, yani wasanii wale wasiopataga madanga Wa maana wanazaa kama kuku ila wale wanaopata vigogo wenye pesa zao wengi hawapatag watoto ni wachache sana, pole snura huenda bwana ake ni panya road ndo maana anaogopa kumwanika
 
Dinazarde umeibiwa simu nini binamu? Funguka wambea wenzio tupitishe bakuli majukwaa yote tukununulie simu mbea mwenzetu, maana sio ukimya huu
 
Last edited by a moderator:
Kitovu kinakaa mkononi jamani?? Mmh bhas kaz ipo

Yaan nkirudi nkakuta mhirizi nakupiga chini ina maana kulogwa bongo tu mbn watoto wa huko mbelembele hawanaga mahirizi
 
Yaan nkirudi nkakuta mhirizi nakupiga chini ina maana kulogwa bongo tu mbn watoto wa huko mbelembele hawanaga mahirizi

Uchafu tu halafu mtu staa kama yeye kuendekeza uswahili uliokubuhu ata haipendezi, amroge nani na kwa lip? Yani watu waache kuroga watoto Wa mengi na k-lyn wakamroge Wa shilole jaman? Bhas hii Kali aiseeh..
 
Eti bana ajabu kwanza ndani ya kibegi mule kunakuaga na nini
 
Mambo yale ya 6*6 ni magumu sana. Mtu ajifiche vipi, akizaa tu utajua nae alifanya mambo yaleeeee! Ni hatareee!
 
Watu washirikina jamani, sijui ndo kinga mwenzangu khaa sio ushirikina huu ndo maana alikuwa anaficha mimba, uswahili tu nfyuuu et anajifanya na yeye n staa kama Beyonce nfyuu

Kinga ni Mungu tu! mbona tumboni alikaa bila ulinzi?Ni uchafu tuu
 
Wambea wenzengu Kenya, Uganda na Tanzania mpoo? Naona mnajifanya mko busy mpaka jumapili manina zenu ebu njoon uku tupige umbea bwana

Khaaaaa! Ndio nini kutuchamba hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…