Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuficha mimba kawaida ila kumficha mtoto jamani......mmh asifanye hvyo.....
Kitovu kinakaa mkononi jamani?? Mmh bhas kaz ipo
Yaan nkirudi nkakuta mhirizi nakupiga chini ina maana kulogwa bongo tu mbn watoto wa huko mbelembele hawanaga mahirizi
Hiyo sio hirizi ni tamaduni tu na nikitovu chake mtoto
Uchafu tu halafu mtu staa kama yeye kuendekeza uswahili uliokubuhu ata haipendezi, amroge nani na kwa lip? Yani watu waache kuroga watoto Wa mengi na k-lyn wakamroge Wa shilole jaman? Bhas hii Kali aiseeh..
Watu washirikina jamani, sijui ndo kinga mwenzangu khaa sio ushirikina huu ndo maana alikuwa anaficha mimba, uswahili tu nfyuuu et anajifanya na yeye n staa kama Beyonce nfyuu
Tatizo ushirikina tu umewajaa mbwa hawa
Tamaduni za watu..mtoto kavikwa hirizi kama ya chege
Tatizo ushirikina tu umewajaa mbwa hawa
Wambea wenzengu Kenya, Uganda na Tanzania mpoo? Naona mnajifanya mko busy mpaka jumapili manina zenu ebu njoon uku tupige umbea bwana