Picha: Snura Mushi ajifungua mtoto wa kiume

Wambea wenzengu Kenya, Uganda na Tanzania mpoo? Naona mnajifanya mko busy mpaka jumapili manina zenu ebu njoon uku tupige umbea bwana

Tupo, tuende wapi wakati Jf ndo kijiwe.
 
Eti bana ajabu kwanza ndani ya kibegi mule kunakuaga na nini

Shark, Ben kaolewa.
kama huna habari ndo nakupasha mmbea mwenzetu.

Afu kuna siku nishawahi kukuona na Snura Magomeni, we mwanaume una balaa wewe
 
Last edited by a moderator:
Jobless analalag? Mwenzio nipo umu usiku kucha napiga umbea kwa pm, umeamkaje lakini?

Mie nimeamka salama swalimini.
Nagalauka tu Jumapili yote hii.
Pakwenda sina, umbea hakuna basi mwili mzima unawasha kwa kutaka kujua umbea ulipo
 
Mie nimeamka salama swalimini.
Nagalauka tu Jumapili yote hii.
Pakwenda sina, umbea hakuna basi mwili mzima unawasha kwa kutaka kujua umbea ulipo

Mbona wewe huashwi binamu? Mimi je ? yaani apa mwili wote ume expire kwa kukosa umbea , wambea wenzetu sijui wameenda wapi au ndo wameacha umbea siku izi??
 
Shark, Ben kaolewa.
kama huna habari ndo nakupasha mmbea mwenzetu.

Afu kuna siku nishawahi kukuona na Snura Magomeni, we mwanaume una balaa wewe

Ben yupi tena best? Masikio yameshaanza kusimama apa
 
Last edited by a moderator:
Mbona wewe huashwi binamu? Mimi je ? yaani apa mwili wote ume expire kwa kukosa umbea , wambea wenzetu sijui wameenda wapi au ndo wameacha umbea siku izi??

Thubutuuuuuu, hivi unawezaje kuacha umbea kwa mfano,
Umbea raha sana, hasa uufumanie live, basi unaongea kwa kujiamini utadhani umeibeba dunia
 
Thubutuuuuuu, hivi unawezaje kuacha umbea kwa mfano,
Umbea raha sana, hasa uufumanie live, basi unaongea kwa kujiamini utadhani umeibeba dunia

Umbea raha jamani, yani nikipata umbea mzito mwili unasisimka kweli , moyo sasa unavyokuwa una furaha? Nyie acheni bhana umbea ni kitu kingine aaseh binamu, kuacha itakuwa ngumu kidogo
 
Ben yupi tena best? Masikio yameshaanza kusimama apa

Binamu hata wewe humjui?
MamaLandAN.
Vatevate nilimuona kashikwa kiuno na tambi moja la njenje, alivaa tshirt flani nyeupe, pensi ila chini sikuona alitinga nini

Chezea umbea wewe, masikio yatanyofolewa hayo.
 
Uwiiii jamani mbona unanipa shidaa mwenzio, masikio yote yamevimba apa
 
Umbea raha jamani, yani nikipata umbea mzito mwili unasisimka kweli , moyo sasa unavyokuwa una furaha? Nyie acheni bhana umbea ni kitu kingine aaseh binamu, kuacha itakuwa ngumu kidogo

Mie kuna maeneo yangu ya kutegea umbea, yako haya 2,
Yaani niko radhi nikakae tu hayo maeneo ili nisipitwe na umbea, hata kama sina mishe.

Afu, eti huyu Bilali mashauzi kwa mwaka alizaliwa mara mbili?
Maana ngachoka mieeeeeeee.....!!!!!!
Allah usinichukue mapema mie mja wako, ili nimalize umbea wa dunia hii
 
Alizaliwa Mara Mbili? Mbona unanipa misamiati mizito ndugu yangu? Mwenzio kipaji cha shule sina hvyo binamu? Mie nimepewa kipaji cha umbea tu hvyo ujue? Mambo ya nahau sijui kitendawili mpelekee Matola
 
Last edited by a moderator:
Yes Wa kike anaye, si ndo yule aliyekuwa akisomeshwa na mama ubaya?

Sasa kulea huyo mmoja kulimshinda mpka asaidiwe c majanga hayo utakuta kazaa n ----- 2 ambae hana msaada kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…