Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wambea wenzengu Kenya, Uganda na Tanzania mpoo? Naona mnajifanya mko busy mpaka jumapili manina zenu ebu njoon uku tupige umbea bwana
Jobless analalag? Mwenzio nipo umu usiku kucha napiga umbea kwa pm, umeamkaje lakini?
Mie nimeamka salama swalimini.
Nagalauka tu Jumapili yote hii.
Pakwenda sina, umbea hakuna basi mwili mzima unawasha kwa kutaka kujua umbea ulipo
Ndo maana mitoto mingi inakua machokoraa na machizi kwa sababu ya upuuzi huo
Mbona wewe huashwi binamu? Mimi je ? yaani apa mwili wote ume expire kwa kukosa umbea , wambea wenzetu sijui wameenda wapi au ndo wameacha umbea siku izi??
Thubutuuuuuu, hivi unawezaje kuacha umbea kwa mfano,
Umbea raha sana, hasa uufumanie live, basi unaongea kwa kujiamini utadhani umeibeba dunia
Ben yupi tena best? Masikio yameshaanza kusimama apa
miswahil bhn...wameshamvalisha mtt hirizi
Binamu hata wewe humjui?
MamaLandAN.
Vatevate nilimuona kashikwa kiuno na tambi moja la njenje, alivaa tshirt flani nyeupe, pensi ila chini sikuona alitinga nini
Chezea umbea wewe, masikio yatanyofolewa hayo.
Umbea raha jamani, yani nikipata umbea mzito mwili unasisimka kweli , moyo sasa unavyokuwa una furaha? Nyie acheni bhana umbea ni kitu kingine aaseh binamu, kuacha itakuwa ngumu kidogo
Uwiiii jamani mbona unanipa shidaa mwenzio, masikio yote yamevimba apa
Wambea wenzengu Kenya, Uganda na Tanzania mpoo? Naona mnajifanya mko busy mpaka jumapili manina zenu ebu njoon uku tupige umbea bwana
Mie kuna maeneo yangu ya kutegea umbea, yako haya 2,
Yaani niko radhi nikakae tu hayo maeneo ili nisipitwe na umbea, hata kama sina mishe.
Afu, eti huyu Bilali mashauzi kwa mwaka alizaliwa mara mbili?
Maana ngachoka mieeeeeeee.....!!!!!!
Allah usinichukue mapema mie mja wako, ili nimalize umbea wa dunia hii
Yes Wa kike anaye, si ndo yule aliyekuwa akisomeshwa na mama ubaya?