Umbea hauna jinsi babu weeeee, ungekuwa hivi basi akina Said Kiunoteke asingetangaza taarab.
Maana taarab ndo kama umbea tu
Hilo jina tu linanifanya nisiwe na shaka kwamba huyo mtu ni shoga
Huyu Ngassa n m2 wa karibu ila sasa naona kazidi! Yaan haushagi mwezi lazima mwanamke ajifungue mtoto wake somewhere alafu 2kiwa kwenye vijiwe vye2 vya ghahawa anajisifiaje! Atolewe tamkoooo
Binamu nawe usiwe kama umekuja leo mjini, kwani mwanaume akioa koki haimwagi maji?
Akioa jogoo hapandi mtungi?
Akioa uume haudindi?
Kwanza waume za watu kama mcharo tu.....watamujeeeeee!!!!!
Ila awe na pesa, sio mwanaume kengele, mpigaji mwingine, mji atauhama.
Halafu huwa hanaga soni mwanaume mwenzenu yule.
Ila nahisi kama anaanza kufulia.
Maana swagger za sahivi si kama za enzi zile.
Mwanaume pozi utadhani akidindisha anamwaga dhahabu, kumbr shahawa tu kama za bwana angu
Binamu nae unakuwa kama hujui principle za umbea? Si ndo nachochea umbea tena binamu??
Dinazarde yamemkuta yapi tena? Naona anakazana Ku like tu Ku comment hakoment au ndo kaacha umbea?? Mrembo by Nature miss u jaman kokote mlipo uko
Dinazarde, Mrembo by Nature hebu tokeni huko mlikojificha, mtapigwa mabomu
Au wameajiriwa kwa shigongo wenzetu nini? Maana siwaelewi wametugeuka eeh? Sasa wambie wajitokeze popote walipo vinginevyo nakinukisha humu naanza kumchamba mmoja badala ya mwingine nfyuuuu, wafanye usaliti wote lakini sio Wa umbea yani watajuta aseh
kuficha mimba kawaida ila kumficha mtoto jamani......mmh asifanye hvyo.....
sheeee!!!!unaanzaje kumficha mtoto labda???he he he pole zake huyu mnenguaji mi natamani ulimwengu wote ujue nna mtoto
Evelyn Salt nakutuma kwa Konda wa bodaboda.
Mwambie hivi, aliyemtuma mwambie amekosea njia.
Mseng.e sana yule mtoto.
Ila poa tu, ....kesho sio mbali mamamae
Nini tena binamu? Ebu nipe umbea tukachambe mtu sie
Evelyn Salt nakutuma kwa Konda wa bodaboda.
Mwambie hivi, aliyemtuma mwambie amekosea njia.
Mseng.e sana yule mtoto.
Ila poa tu, ....kesho sio mbali mamamae
Ebu nipe umbea tumchambe huyo
sijui hata amefanyaje mi nliona wanataniana tu.kumbe.imekua serious humjui amkatrina.au wantaftia kusutwa binamu he he he
Binamu nani mwenzangu? Pole aseeh midomo jamani wambea wenzangu , mwenzenu siku izi nimeacha mdomo ndo maana sipati ban ovyo, aya nasubir hyo kesho mbea mwenzangu