Picha: Snura Mushi ajifungua mtoto wa kiume

Picha: Snura Mushi ajifungua mtoto wa kiume

Umbea hauna jinsi babu weeeee, ungekuwa hivi basi akina Said Kiunoteke asingetangaza taarab.
Maana taarab ndo kama umbea tu

Hilo jina tu linanifanya nisiwe na shaka kwamba huyo mtu ni shoga
 
Huyu Ngassa n m2 wa karibu ila sasa naona kazidi! Yaan haushagi mwezi lazima mwanamke ajifungue mtoto wake somewhere alafu 2kiwa kwenye vijiwe vye2 vya ghahawa anajisifiaje! Atolewe tamkoooo

Kwani mtt wa Snura ni wa Ngassa?
 
Binamu nawe usiwe kama umekuja leo mjini, kwani mwanaume akioa koki haimwagi maji?
Akioa jogoo hapandi mtungi?
Akioa uume haudindi?
Kwanza waume za watu kama mcharo tu.....watamujeeeeee!!!!!
Ila awe na pesa, sio mwanaume kengele, mpigaji mwingine, mji atauhama.

Binamu nae unakuwa kama hujui principle za umbea? Si ndo nachochea umbea tena binamu??
 
Halafu huwa hanaga soni mwanaume mwenzenu yule.
Ila nahisi kama anaanza kufulia.
Maana swagger za sahivi si kama za enzi zile.

Mwanaume pozi utadhani akidindisha anamwaga dhahabu, kumbr shahawa tu kama za bwana angu

Dinazarde yamemkuta yapi tena? Naona anakazana Ku like tu Ku comment hakoment au ndo kaacha umbea?? Mrembo by Nature miss u jaman kokote mlipo uko
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde, Mrembo by Nature hebu tokeni huko mlikojificha, mtapigwa mabomu

Au wameajiriwa kwa shigongo wenzetu nini? Maana siwaelewi wametugeuka eeh? Sasa wambie wajitokeze popote walipo vinginevyo nakinukisha humu naanza kumchamba mmoja badala ya mwingine nfyuuuu, wafanye usaliti wote lakini sio Wa umbea yani watajuta aseh
 
Last edited by a moderator:
Au wameajiriwa kwa shigongo wenzetu nini? Maana siwaelewi wametugeuka eeh? Sasa wambie wajitokeze popote walipo vinginevyo nakinukisha humu naanza kumchamba mmoja badala ya mwingine nfyuuuu, wafanye usaliti wote lakini sio Wa umbea yani watajuta aseh

Basi, basi, tuliza munkari mpaka kesho watakuwa wameshakuja.

Kuna sehemu nimekuona, ngoja nikufate tukeshe wote
 
sheeee!!!!unaanzaje kumficha mtoto labda???he he he pole zake huyu mnenguaji mi natamani ulimwengu wote ujue nna mtoto
 
kuficha mimba kawaida ila kumficha mtoto jamani......mmh asifanye hvyo.....

eti jamani kusema hana mtoto watu watu wanazusha, kumbe mtoto yupo tena hai, unajua haingii akilini, kwanini umsaliti mwanao mpenzi, bora angesema nivkweli nina mtoto lakini sipo tayari kumuweka hadharani kwa sasa. LAKINI KUSEMA HUNA NA UNAYE???? DANGER!!!
 
Binamu nina ban, ila usijali kesho sio mbali

Binamu nani mwenzangu? Pole aseeh midomo jamani wambea wenzangu , mwenzenu siku izi nimeacha mdomo ndo maana sipati ban ovyo, aya nasubir hyo kesho mbea mwenzangu
 
sijui hata amefanyaje mi nliona wanataniana tu.kumbe.imekua serious humjui amkatrina.au wantaftia kusutwa binamu he he he

Yaani kuna wanaume wengine kama walikunywa maji ya uzazi wakati wanazaliwa.
Au walivutwa kwa Vacuum.
Asa nishamwambia huyo hawara yake aliyenipiga ban, anipige na hii.
Nina kama 26 hivi
 
Binamu nani mwenzangu? Pole aseeh midomo jamani wambea wenzangu , mwenzenu siku izi nimeacha mdomo ndo maana sipati ban ovyo, aya nasubir hyo kesho mbea mwenzangu

Mie mwenyewe mdomo sina ila nikitiwa kidole cha kalio, wala sitakaa kimya.

Binamu....umbea raha sana
 
Back
Top Bottom