Picha: Snura Mushi ajifungua mtoto wa kiume

Picha: Snura Mushi ajifungua mtoto wa kiume

Yaani kuna wanaume wengine kama walikunywa maji ya uzazi wakati wanazaliwa.
Au walivutwa kwa Vacuum.
Asa nishamwambia huyo hawara yake aliyenipiga ban, anipige na hii.
Nina kama 26 hivi

kwani mmefanyana.nini mbn it was utani pale yakaisha au mna mabifu yenu au mmenyimana
 
Mie mwenyewe mdomo sina ila nikitiwa kidole cha kalio, wala sitakaa kimya.

Binamu....umbea raha sana

Roho binamu , nani huyo kakusababishia ban nikacheze nae chekechacheketua mpaka hasubuhi
 
kwani mmefanyana.nini mbn it was utani pale yakaisha au mna mabifu yenu au mmenyimana

Yule mie niko nae kushoto tangu anajiunga JF.
Alivyoona watu tunafunguka majukwa yaleeeeeeeee akajua, yeees!!! zigo hilo, mamamaeee
Kumbe watu na waume zetu akina Shark na asakuta same....

Nyoko zake mia mara sabini
 
Last edited by a moderator:

ha ha ha ha kumbe shida ni kusuuza rungu...anajua aombae hupewa, kuna vingine sio lazma kupewa hivo unakua tu mpole
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha kumbe shida ni kusuuza rungu...anajua aombae hupewa, kuna vingine sio lazma kupewa hivo unakua tu mpole

Bora umwambie wewe.
Rungu achonge wapi, halafu aje kulisafishia wapi.
Vingine sio lazima apewe, aangalie tu wenzake wanavyopewa.
 
eti jamani kusema hana mtoto watu watu wanazusha, kumbe mtoto yupo tena hai, unajua haingii akilini, kwanini umsaliti mwanao mpenzi, bora angesema nivkweli nina mtoto lakini sipo tayari kumuweka hadharani kwa sasa. LAKINI KUSEMA HUNA NA UNAYE???? DANGER!!!

mie binafsi wakati nina mimba sikuwa nawaambia watu kama nina mimba......lakini baada ya kujifungua eeh ni kuweka whatsapp tu....my son....my son.....kila mtu eeh hiyo mimba umebeba lini.....nikawaambia habari ndiyo hiyo ingawa wengine hawaamini mpaka leo......lakini ndiyo hvyo....
 
Bora umwambie....anachokoza nyuki akitegemea kujipaka unga wa ngano ili ajinusuru.

Achana na lolowapi menopause inamsumbua huyo , mpotezee asije kukupaka damu chafu ya hedhi
 
Last edited by a moderator:
Bora umwambie....anachokoza nyuki akitegemea kujipaka unga wa ngano ili ajinusuru.

Mpenzi leo vipi mbn hivyooo kwanza vp upo dar au wapi. Alaf huyo Konda wa bodaboda mbona kama mpo gari la mkaa siku nyingne mpo safi siku nyingne kimeo mpk nkajua nae kapewa kama ulivyomuonjesha bacha. Mie asakuta same huyo pacha ukamuaji wetu unafanana tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom