Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Siagi ya karanga imetengenezwa May 13, 2014 na ina-expire May 13, 2015 na imeingia tayari sokoni, najiuliza tu, TBS mko wapi na mnafanya kazi gani? Hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo.
![]()

ina noma gani wakuu?
Imeanza kutumika kabla haijatengenezwa hahahaaaa
Mkuu...........ni observation nzuri .....na nahisi jamaa wamelala I mean TBS.....ila unge acknowledge hii kitu umeitoa kwenye FB page ya KITIME( CHEKA NA KITIME)
angalia jina la kampuni linavyojieleza, vin repacking, kwa haraka haraka ni kwamba jamaa wanafaulisha mzigo toka kopo moja kwenda kopo jipya, labda nimeelewa vibaya. Kwa hiyo waweza kuta hiyo siagi ina miaka kadhaa kwenye makopo hayo na kinachobadirishwa ni lebo.