Picha: Tanzania Zaidi Ya Uijuavyo, TBS Mko Wapi?

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
2,713
Reaction score
3,559
Hii Siagi ya karanga imetengenezwa May 13, 2014 na ina-expire May 13, 2015 na imeingia tayari sokoni, najiuliza tu, TBS mko wapi na mnafanya kazi gani? Hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo.
10168025_746112042095485_6668158512691444671_n.jpg
 
wako ofisini MKUU wanapigwa na a/c mvua zinanyesha sana MKUU wanakagua kagua makabrasha.
tuvumiliane jamani
 
Hii Siagi ya karanga imetengenezwa May 13, 2014 na ina-expire May 13, 2015 na imeingia tayari sokoni, najiuliza tu, TBS mko wapi na mnafanya kazi gani? Hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo.
10168025_746112042095485_6668158512691444671_n.jpg

Mkuu...........ni observation nzuri .....na nahisi jamaa wamelala I mean TBS.....ila unge acknowledge hii kitu umeitoa kwenye FB page ya KITIME( CHEKA NA KITIME)
 
na kuna watu wanataka uadilifu ,uwazi na UWAJIBIKAJI ziondolewe kwenye tunu za taifa ila mambo kama haya yaendelee
Hii Siagi ya karanga imetengenezwa May 13, 2014 na ina-expire May 13, 2015 na imeingia tayari sokoni, najiuliza tu, TBS mko wapi na mnafanya kazi gani? Hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo.
10168025_746112042095485_6668158512691444671_n.jpg
 
Imeanza kutumika kabla haijatengenezwa hahahaaaa
 
Angalia jina la kampuni linavyojieleza, VIN REPACKING, kwa haraka haraka ni kwamba jamaa wanafaulisha mzigo toka kopo moja kwenda kopo jipya, labda nimeelewa vibaya. Kwa hiyo waweza kuta hiyo siagi ina miaka kadhaa kwenye makopo hayo na kinachobadirishwa ni lebo.
 
Mkuu...........ni observation nzuri .....na nahisi jamaa wamelala I mean TBS.....ila unge acknowledge hii kitu umeitoa kwenye FB page ya KITIME( CHEKA NA KITIME)

kwani picha iko copyrighted? na huyo kitime ni yake au na yeye kainyofoa sehem? cha muhi hapa ni ujumbe.
 
angalia jina la kampuni linavyojieleza, vin repacking, kwa haraka haraka ni kwamba jamaa wanafaulisha mzigo toka kopo moja kwenda kopo jipya, labda nimeelewa vibaya. Kwa hiyo waweza kuta hiyo siagi ina miaka kadhaa kwenye makopo hayo na kinachobadirishwa ni lebo.

tbs/tfda inabidi wawe makini sana.
 
Hii Siagi ya karanga imetengenezwa May 13, 2014 na ina-expire May 13, 2015 na imeingia tayari sokoni, najiuliza tu, TBS mko wapi na mnafanya kazi gani? Hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo.
10168025_746112042095485_6668158512691444671_n.jpg

Mbaya zaidi kuna nembo ya tbs na international standards.
 
Mbaya Zaidi hata Huku kwetu singida Zipo na tunazitumia
Jamani naomba serikari iliangalia Hilo.
 
Najua watu wa TBS mpo tunaomba ushirikiano wenu
 
Back
Top Bottom