Ni wajinga tu ndio waliodhani JWTZ ipo upande wa PONDA kumbe katika JW kuna Waislam na hawaamini katika fujo kuna hakiKulikuwa na sababu gani ya kutumia jeshi la JWTZ safari ile kutawanya maandamano wakati askari wa kutuliza ghasia wana full gear. Kama hao walovaa body armor sijawahi ona isipokuwa Tanzania na kwenye filamu za majeshi ya zamani ya wafalme
HAWA ASKARI wanao Vaa MAGWANDA MEUSI ndio WANAITWA NANI???
Kulikuwa na sababu gani ya kutumia jeshi la JWTZ safari ile kutawanya maandamano wakati askari wa kutuliza ghasia wana full gear. Kama hao walovaa body armor sijawahi ona isipokuwa Tanzania na kwenye filamu za majeshi ya zamani ya wafalme
Hilo janga linalofuata mungu pekee ndo anajua kitakachotokea.Ni wakati wa Waislamu kukaa chini na kuchukua maamuzi magumu uvumilivu ukizidi unainekana muoga
Sheikh una maana kuchochea na kufanya vurugu, na kukamatwa na kufikishwa mahakamani ni sehemu ya ibada?
mkuu nimecheka basi hapa nilipo, teh teh tehKill zone mkuu
wewe kweli ni mganga wa kienyeji kama id yako ilivyo,Ben Ali Tunisia, Mubarak Egypt, Gadafi Libiya, Bashir al Asad Syria, wote hao walikua na majeshi. Subiri maamuzi yatakapo timia.
Haya maneno kuchochea na kufanya vurugu ni TUHUMA tu! Hivi ni lini nyinyi munaojiita 'WAKRISTO' (ingawa Yesu mwenyewe alikaza ya kwamba kamwe asiambiwe mtu yeyote ya kwamba Yeye ni 'KRISTO'!!) mutakua na akili angalau za kuchambua vitu vidogo vidogo!