Picha & taswira za yaliyojili kwenye mahakama ya Kisutu wakati Sheikh Ponda alipofikishwa Mahakamani

Picha & taswira za yaliyojili kwenye mahakama ya Kisutu wakati Sheikh Ponda alipofikishwa Mahakamani

Kulikuwa na sababu gani ya kutumia jeshi la JWTZ safari ile kutawanya maandamano wakati askari wa kutuliza ghasia wana full gear. Kama hao walovaa body armor sijawahi ona isipokuwa Tanzania na kwenye filamu za majeshi ya zamani ya wafalme
Ni wajinga tu ndio waliodhani JWTZ ipo upande wa PONDA kumbe katika JW kuna Waislam na hawaamini katika fujo kuna haki
kitendo cha JWTZ kupita bila silaha kilonyesha Watanzania Nchi inatawaliwa katika Sheria na ina Mtawala ndio maana mpaka leo wote wamefunga DOMO
 
Sikonge, nngu007,

..inawezekana Ponda analala nyumbani kwake, au kwa mkuu wa gereza.

..mtu aliyelala mahabusu hawezi kuwa nadhifu kama anavyoonekana Ponda.

..hebu linganisheni muonekano wa Shekhe Ponda na washtakiwa wenzake.

Unaonyesha jinsi ulivyokua hauna akili ya kufikiri..kwan kule hakuna maji ya kuoga na kufua?au hawez kupelekewa nguo na mkewe ikiwa imenyooshwa!?yeye ni mahabusu anaweza kula chakula cha nyumbani kila siku na kuvaa atakavyo acha kuongea pumba!!
 
Last edited by a moderator:
wa majambo,

..LOL!

..kwa hiyo Mrs.Ponda kampelekea mumewe maji ya moto ya kuoga, na mapochopocho, huko mahabusu??!!

..halafu hao washitakiwa wenzake mbona wanaonekana kuwa na hali mbaya namna hiyo?? nini kimeshindikana kuwapelekea kanzu safi, pamoja na vitana, na wao wakaonekana nadhifu wanapofikishwa mahakamani??
 
Last edited by a moderator:
Wabongo wasifuni tu polisi kwa leo.
Yaliyomkuta boko yakimkuta na mamba tusapoti hivi hivi...
 
View attachment 70217

Jamaa hili vazi wamenikumbusha picha ya Panthom soldiers na maneno lincenced to kill serikali sio mchezo Sheikh Osama alitoweka kwenye uso wa dunia kimzaamzaa bila hata kuonekana kaburi lake walianza kusema ohoo hakuuwa yeye mpaka familia yake ilipokiri, kama Osama pamoja na utajiri wake na mafunzo ya kigaidi ya hali ya juu aliweza kudhibitiwa huyu Ponda ni cha mtoto.
 
Ben Ali Tunisia, Mubarak Egypt, Gadafi Libiya, Bashir al Asad Syria, wote hao walikua na majeshi. Subiri maamuzi yatakapo timia.
 
Kulikuwa na sababu gani ya kutumia jeshi la JWTZ safari ile kutawanya maandamano wakati askari wa kutuliza ghasia wana full gear. Kama hao walovaa body armor sijawahi ona isipokuwa Tanzania na kwenye filamu za majeshi ya zamani ya wafalme

"WATU NACHOKOZA JOGOO, JOGOO NAKAA KIMYA.
JOGOO NAANZA KUDONOA WATU NAPIGA KELEEELEE" Daniel Arap Moi
 
Hilo janga linalofuata mungu pekee ndo anajua kitakachotokea.Ni wakati wa Waislamu kukaa chini na kuchukua maamuzi magumu uvumilivu ukizidi unainekana muoga

Walikaa chini na kuchukua maamuzi magumu kuandamana, na kuvamia kiwanja cha watu na haya ndo matokeo yake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Tuone Biblia inasemaje

Tujikumbushe
JEWS : A rebellious people
"Ye have been rebellious against the Lord from the day that I
knew you." DEUTERONOMY 9:24

Sheikh una maana kuchochea na kufanya vurugu, na kukamatwa na kufikishwa mahakamani ni sehemu ya ibada?

Haya maneno kuchochea na kufanya vurugu ni TUHUMA tu! Hivi ni lini nyinyi munaojiita 'WAKRISTO' (ingawa Yesu mwenyewe alikaza ya kwamba kamwe asiambiwe mtu yeyote ya kwamba Yeye ni 'KRISTO'!!) mutakua na akili angalau za kuchambua vitu vidogo vidogo!
 
Kasuku !!!
Ukitaka ujue BIBLIA TAKATIFU ni tofauti kabisa na Korani Tukufu.
Unahitaji ujifunze ndiyo uelewe na kuuliza maswali, hili linakusumbua na hutaielwa BIBLIA TAKATIFU kwa kuikashifu na kuwakashifu walioamini.
Hivi kwa nini waislam msihubiri kurani yenu na badala yake mnahubiri BIBLIA MSIYOIJUA mnaitia unajisi.
Tangu zama za kale BIBLIA TAKATIFU ilihubiriwa na waliofundishwa WANA WA MUUNGWANA na syo kama wewe unayesoma ukiwa na negative atitude na siyo kujifunza.
Mungu akusaidie kwa JINA YESU KRISTO WA NAZARETI ILI UFUNGUKE.
 
Haya maneno kuchochea na kufanya vurugu ni TUHUMA tu! Hivi ni lini nyinyi munaojiita 'WAKRISTO' (ingawa Yesu mwenyewe alikaza ya kwamba kamwe asiambiwe mtu yeyote ya kwamba Yeye ni 'KRISTO'!!) mutakua na akili angalau za kuchambua vitu vidogo vidogo!

Mkuu sasa una maana amekamatwa kwa sababu gani? kwa sababu yeye sheikh au kwa sababu yeye ni muislamu. Sasa tuhuma za Ponda zinaingiliana vipi na ukristo, au ukristo na Yesu viliplay part gani kukamatwa kwa P0nda?
 
Back
Top Bottom