hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika Vizibo vimesha funguliwa tayari hivyo.Hivo vifunuko vyote mbona vimesha funguliwa?
ULizia na safari kuna mdomo mkubwa na mdogoTBL naomba Ufafanuzi wa hizi bia mbili hapo kwenye picha
Moja imejaa mpaka juu na nyingine haijajaaa
Na hata Lebo na vizibo ni tofauti
Swali ni je kuna fake na original Kati ya hizi bia?
Mh! nawe umefikia hatua hii!, ama kweli dunia hadaa walimwengu ............Kwa uzoefu wangu, ambayo haijajaa ndio og