Picha Team Anaconda...

stata mzuka

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2012
Posts
4,834
Reaction score
1,759
Wakuu kweli nimeamini Nazi haiwezi shindana na jiwe. Lady umekimbiza mbaya kwenye show yako pamejaa hadi watu walikuwa wanazuiliwa kuingia.
1.Juma Nature as usually kukimbiza
2.Sugu ndo usiseme

Kule kwa MwanaFA naskia kwanza kakataza kupiga picha then kazindulia viti kwani watu hamna kabisa zaidi ya wafanyakazi wa Clouds na Staffs wa wake. Waliokuja ni wachache sana.

TUNACHOJIFUNZA:-
Mwisho wa ubaya ni aibu kwani alipotangaza siku ya uzinduzi na nyie mkatangaza at the same day, alipoghairisha Show na nyie mkafanya hivyo na mwisho tena akapanga tarehe mpya ya uzinduzi na tena vilevile mkatangaza sasa kama ilikua sio kumkomoa nini?

 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1371260993894.jpg
    47.3 KB · Views: 3,337
Kule kwa MwanaFA naskia kwanza kakataza kupiga picha then kazindulia viti kwani watu hamna kabisa zaidi ya wafanyakazi wa Clouds na Staffs wa wake. Waliokuja ni wachache sana.

Acha uongo wewe. Dunia ya leo ukataze watu wasikupige picha tena kwenye tumbuizo? Haiwezekani hiyo.

Mbona hapa zipo picha?
 
Sema "ingine hii hapa" na siyo "nyingine izi hapa". Wa wapi wewe hujui Kiswahili?

Poa mkuu nashukuru kwa kunisahihisha..vp lakini unaonaje hao watu kwa mwana fatuma wanavyoshangweka?? ..kama wamelazimishwa kwenda kuficha aibu kutoka wameshindwa kuangalia wameboreka...haahaahaaahaa
 
Mbona kwa fa hatuoni nyomi bali wamepiga picha mmoja mmoja tu kama wanaonyesha mavazi?. Kwa Jide nyomi yote imeonyeshwa pamoja na watu maarufu waliokuwepo?
 

mkuu ni kweli walikataza watu kupiga picha ili wapige wao tuu, watu walikuwa wengi ila binafsi sikufurahia show ilikuwa ya hovyo hovyo
 
Sema "ingine hii hapa" na siyo "nyingine izi hapa". Wa wapi wewe hujui Kiswahili?

tuliza mzuka,mziki wa jide na fatuma,nitofauti mno.jide anaburudisha all walks of people..fatuma mziki wake ume base kwa hasa kwa vijana..
 
nyingine izi hapa mkuu hihihihihihihihihihi





aaaaaaaaaaaaaaaaaaaa matumbo bana! hawa watu hawapo kwenye semina au warsha kweli!mtu ameenda kwenye show amekunja nne!
zereu hiz bana!
ahahahhahhahahahhaha
 
Last edited by a moderator:
Huu mpambano bado mpaka mtu anyooshe mikono juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…