Picha Team Anaconda...

Picha Team Anaconda...

Fatuma yupo anajililia pale mikocheni saivi na wale makupe, anapima maji kwa kudumbukia mwili mzima, sasa kafa maji chezea anakonda
 
....ahhhh,ilishasemwa hii....“KUKU NI KUKU TUU,jogoo JINA".....shwaini.
 
Mabadiliko yaanza kutokea,wasanii wakijikubali wanaweza kujitegemea kufanya show zao wenyewe bila kutegemea mtu au kunyonywa
 
Afu wewe mbona sikukuona kwa jide? Naskia Nyani Ngabu alikutumia 200 $$ za kuendea kwa mwanafay na kiwalo juu na bonge la cl? Bisha!
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaa matumbo bana! hawa watu hawapo kwenye semina au warsha kweli!mtu ameenda kwenye show amekunja nne!
zereu hiz bana!
ahahahhahhahahahhaha
 
Last edited by a moderator:
shoo ya fa imekaa ki classic zaidi.kwenye shuhuli watu mkiwa weengi sometimes mnakuwa hamu enjoy{hiyo naongelea kwa upande wangu}mfano nikienda kwa mzee yusuf taarab,panakuwa hapatoshi,sebene zuri ila nafasi ya kucheza hakuna,nikienda kwa isha,watu wa kiasi unajinafasi kiasi fulani.ila ki maslahi,anaejaza ndio anaepata hela zaidi.na ukiangalia ni kweli lady jay d amepata.
 
jide wa ukweli bhana.....kamkalisha chin mwanafa2ma hadi aibu kweli jide komando ktk muzik...!
 
duuu!kwel ww upo nje ya malengo ya msanii mwenyewe....!
 
Hawa si waliimba wote kipindi kile 'wanaume kama mabinti' iweje leo..........ama kweli kutumiwa kubayaaa
 
Fatuma yupo anajililia pale mikocheni saivi na wale makupe, anapima maji kwa kudumbukia mwili mzima, sasa kafa maji chezea anakonda

Boya yule show yenyewe kama Birthday bado hajagawana na clouds vilevile hajatoa gharama za studio.
 
Wakuu ndo naamka now baada ya jana ushindi wa 3-0
 
shoo ya fa imekaa ki classic zaidi.kwenye shuhuli watu mkiwa weengi sometimes mnakuwa hamu enjoy{hiyo naongelea kwa upande wangu}mfano nikienda kwa mzee yusuf taarab,panakuwa hapatoshi,sebene zuri ila nafasi ya kucheza hakuna,nikienda kwa isha,watu wa kiasi unajinafasi kiasi fulani.ila ki maslahi,anaejaza ndio anaepata hela zaidi.na ukiangalia ni kweli lady jay d amepata.

Mkuu umejitahidi kubalance story,gud.
 
Back
Top Bottom