kama msiba au watu wakiwa kwenye viti wakisubiria majibu ya VVU TEST
mbona me nashndwa kuziona hzo pcha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama msiba au watu wakiwa kwenye viti wakisubiria majibu ya VVU TEST
shoo ya fa imekaa ki classic zaidi.kwenye shuhuli watu mkiwa weengi sometimes mnakuwa hamu enjoy{hiyo naongelea kwa upande wangu}mfano nikienda kwa mzee yusuf taarab,panakuwa hapatoshi,sebene zuri ila nafasi ya kucheza hakuna,nikienda kwa isha,watu wa kiasi unajinafasi kiasi fulani.ila ki maslahi,anaejaza ndio anaepata hela zaidi.na ukiangalia ni kweli lady jay d amepata.
Kwani jidde yeye ana siku yake pekee yakutumbuiza mbona bongo holela holela?? Kila msanii yupo huru kutumbuiza siku yoyote..majungu sometime ni utoto..
Malipo duniani, yani midume yote et inashindana na mdada, Limewashuka
Kamanda Sugu alisema, na Mnyika alikuwepo, watu walikuwa nyomi sikumuona,was so good,VIP ilikuwa kweli VIP, round table, kwa Mwana Fatuma japokuwa ilikuwa ni fifty, watu walikaa kama kwenye seminer ya maCCM, shame on you MwanaFatuma na redio yao ya wafu