hahahaaaa...kwa kweli "mbuzi ni mbuzi tuuu beberu jina tuuu..."!....ahhhh,ilishasemwa hii....KUKU NI KUKU TUU,jogoo JINA".....shwaini.
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaa matumbo bana! hawa watu hawapo kwenye semina au warsha kweli!mtu ameenda kwenye show amekunja nne!
zereu hiz bana!
ahahahhahhahahahhaha
nyingine izi hapa mkuu hihihihihihihihihihi
[/QUOTE
Mkuu mi nilijua ni Birthday au watu wapo Cinema Kumke ni show ya MwanaFatumA?
Fatuma yupo anajililia pale mikocheni saivi na wale makupe, anapima maji kwa kudumbukia mwili mzima, sasa kafa maji chezea anakonda
Hawa wako kwenye Semina elekezi?
shoo ya fa imekaa ki classic zaidi.kwenye shuhuli watu mkiwa weengi sometimes mnakuwa hamu enjoy{hiyo naongelea kwa upande wangu}mfano nikienda kwa mzee yusuf taarab,panakuwa hapatoshi,sebene zuri ila nafasi ya kucheza hakuna,nikienda kwa isha,watu wa kiasi unajinafasi kiasi fulani.ila ki maslahi,anaejaza ndio anaepata hela zaidi.na ukiangalia ni kweli lady jay d amepata.
Hawa wako kwenye Semina elekezi?