Picha Team Anaconda...

Jide na FA wanatafuta attention, wameamua kutafuta jinsi ya kupiga shoo.
 
nyingine izi hapa mkuu hihihihihihihihihihi






Kumbe kulikua na nafasi kibao hata za kupita na kukunja nne, anaconda hakuwa na pakukanyaga ilikua ni balaa tupu. Kwa mwanafatuma watu kama wapo church bila sadaka
 
[h=5]Live kutoka nyumbani Lounge:umati wa watu unaoshuhudia show ya Lady J Dee sasa hivi hapa Nyumbani Longe...!!!!
aiseee kweli watu walikuwa na joto hasira
 
aiseeee dj choka kumbe nae anajua kuyarudi
[Dj choka anatoa burudani kwenye jukwaa.!!!!
 
duuuuu Anacondaaaaaa
[h=5]natoa burudani ya kutosha kwa mashabiki...!!!
[/h]

 
Aiseee watu walikuwa na hasira+jotooooo
 
kwa mwana fatuma kulikuwa hivi jana
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1371292143592.jpg
    7.6 KB · Views: 260

kwa fa ulienda kucheza
 
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaa matumbo bana! hawa watu hawapo kwenye semina au warsha kweli!mtu ameenda kwenye show amekunja nne!
zereu hiz bana!
ahahahhahhahahahhaha

Kama wako kwenye lecture vilee...hahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Kwani jidde yeye ana siku yake pekee yakutumbuiza mbona bongo holela holela?? Kila msanii yupo huru kutumbuiza siku yoyote..majungu sometime ni utoto..
 
Kamanda Sugu alisema, na Mnyika alikuwepo, watu walikuwa nyomi sikumuona,was so good,VIP ilikuwa kweli VIP, round table, kwa Mwana Fatuma japokuwa ilikuwa ni fifty, watu walikaa kama kwenye seminer ya maCCM, shame on you MwanaFatuma na redio yao ya wafu
 
Mwanafatuma tehe tehe tehe tehe,katokota mbayaaa.
 
Kwani jidde yeye ana siku yake pekee yakutumbuiza mbona bongo holela holela?? Kila msanii yupo huru kutumbuiza siku yoyote..majungu sometime ni utoto..

Ni kweli kila msanii yupo huru kutuimbuiza lakini kwa hili MwanaFatumA alikubali kutumika ukiangalia mtiririko mzima wa uzinduzi ulivyoanza.
 

Ni kweli mkuu alikuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…