Picha Team Anaconda...

Tunaendele...
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1371313796248.jpg
    64.5 KB · Views: 260
  • uploadfromtaptalk1371313854105.jpg
    76.9 KB · Views: 258
Angalia mwenyewe utofauti mkubwa katika picha ya chini.
 
Stata mzuka. Nakubaliana na wewe. Kutumika ni kubaya. Nadhani kama ingekuwa mwanaFA kaamua show yake kivyake nadhani watu wangempa support lakini kuweka show kwa namna hii ya kutumika amekosea sana.
 
Stata mzuka. Nakubaliana na wewe. Kutumika ni kubaya. Nadhani kama ingekuwa mwanaFA kaamua show yake kivyake nadhani watu wangempa support lakini kuweka show kwa namna hii ya kutumika amekosea sana.

Ni kweli mkuu nafikiri hilo ndo kosa moja kubwa kulifanya..!!
 
hii vita bado mbichi sana mpaka mmoja wao amuombe poo mwenzake.
 
mwana fa kwa aibu hii omba poo kwa jide yaishe.lol
 
tatizo redio ya wafu walimdanganya mwana FATUMA kuwa anakubalika kuliko Jide, matokeo yake kaaibika
 
Kwa izo picha mbili nlizoziona apo kwa jide inaonesha kweli show ilifunguka. Apo kwa mwana fa ni km wfunzi wapo darasani wanamskiliza lecturer ambae anaboa kabisaaaa
 
kwani nani kafaaa hapa maana soin kam kuna furaha ya moyooo
 
Cheki kikwapa hicho! Safari ijayo mshaurini atumie anti-perspirant deodorant. Halafu na hiyo outfit...duh!

Cheki kikwapa hicho! Safari ijayo mshaurini atumie anti-perspirant deodorant. Halafu na hiyo outfit...duh!

Sis ni muziki wake tu ila kikwapa ni chake mwenyewe we usikute hapo mdomo unatema balaa...
 
Una obssession wewe. Like in training pia you dont expect to sweat? Manake dada wa watu anaimba na kucheza, anamulikwa na mataa. Why not asitokwe majasho? Kwa hali ya hewa ya dsm na hilo licostume! Give her a break bwana, she made it!

Kikwapa changu always smells of berries, usije ukakilamba bure ukaniletea shida na Paw akanianzishia home gym.
unaonaje ukininukisha cha kwako kwenye training session ijayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…