Uchaguzi 2020 PICHA: Tofauti ya umati wa watu kati ya CHADEMA na CCM

Yaani mwaka huu myaedit lakini mwisho wenu ni tarehe 28/10/2020
 
Mleta mada hebu jiulize kwa mfano umeliona fuso la ccm limekuja eneo lako kubeba watu ili kuwapeleka kwenye mkutano wa ccm je,utapanda ili kwenda kwenye huo mkutano wa ccm?

1. Kama utapanda hilo fuso tuambie kwanini upande? 2. Na kama hutopanda tuambie ni kwanini?
 
Mambo mengine bwana
Sio kila anayeenda kweny kampen za cdm ni mfuasi Wengine hawajawah kumuona tundu

Kuhudhuria kampen ni hak ya kila raia kusikiliza hoja
Sio kura ni kampen
Na hao wanaobebwa kwenye mafuso ni watu gani mkuu?
 
Umati huu wa wana-Mbeya unanikumbusha ....Kibaya chajitembeza....kizuri chajiuza.... Hongereni wanaMbeya. Lissu shikilia hapo hapo
Sema umati wa watu toka majimbo na wilaya kibao za kanda.Hao hawakuwa watu wa mbeya mjini tu usibinafsishe as if ni wa mbeya mjini tu.Huo uzinduzi haukuwa wa mbeya mjini ulikuwa wa kanda.Subiria CCM tuje hapo uone umati wa wana mbeya mjini tu.Wapiga kura wa TULIA pekee.Tofauti na hao waliotoka mikoa na wilaya zingine kuja kuhudhuria uzinduzi wa kanda ambao siku ya kupiga kura hawatakuwepo hapo kumpigia kura Sugu watakuwa kwao kwenye majimbo yao

Ndipo utaona Sugu anabwagwa mapema asubuhi sababu hana wapiga kura wengi hapo
 
CCM Wanatafuta uhalali ili wakichakachua msilaumu kwan ati walikuwa na watu wengi mikutanoni mwao ila kiukweli hawakubaliki kabisa hawa nzi wa chooni
 
Tofauti kila anapokanyaga Magu ni Nyomi ila mpaka sasa Lissu ana nyomi mbili tu, mwanza na mbeya. Na nyomi ikigoma mitandaoni hatuwaoini chadema ila pia Lissu akiona nyomi jeuri inaongezeka
 
Vivo ivyo, hata mimi sijawai kumuona magufuli ntaenda kumuona tu na sitompigia kura
Mambo mengine bwana
Sio kila anayeenda kweny kampen za cdm ni mfuasi Wengine hawajawah kumuona tundu

Kuhudhuria kampen ni hak ya kila raia kusikiliza hoja
Sio kura ni kampen
 
Najua baada ya october 28 Jf itapooza sana
Cha msingi hapa kwanza ni ukweli kuwa watu wanaenda mikutano ya ccm kwa kuombwa na kulazimishwa. Mapenzi huru kwa ccm hayapo. Mambo ya ushindi wa ccm mpaka sasa siyo ya kura, bali mbinu chafu kwa kusaidiwa na majeshi.

Ndio nasema CCM haiji toka madarakani bila wananchi kufanya maandamano makubwa ikiwezekana hata civil war. Hakika nasema ni kwa njia hiyo tu. Ni lini sijui
 
Hawa nikuwaacha kama walivyo.washajifia bado kuoza.
 
Jana mama Maria kawaumbua kasema alilazimishwa ili kuongeza vichwa
 
Mambo mengine bwana
Sio kila anayeenda kweny kampen za cdm ni mfuasi Wengine hawajawah kumuona tundu

Kuhudhuria kampen ni hak ya kila raia kusikiliza hoja
Sio kura ni kampen

Kwa kwenu kumedoda kwa sababu wapiga kura wenu wamebakia nyumbani?

Acheni kampeni basi. Wapiga kura wako majumbani.
 
Mambo mengine bwana
Sio kila anayeenda kweny kampen za cdm ni mfuasi Wengine hawajawah kumuona tundu

Kuhudhuria kampen ni hak ya kila raia kusikiliza hoja
Sio kura ni kampen
Asante na pia zaidi ya 85% wanaojazana kwenye mikutano ya "chukua chako mapema" wanaenda kushangaa wasanii.
 
Matusi,dharau zimetuponza ccm, sijui tufanyaje turudishe imani mbeya, mwanza dar, maana dar tunaenda kupoteza tena
 
Mkishatembeza bakuli na ruzuku ya kila mwezi, hela yenu mnapelekaga wapi? Maana hamna mradi wowote mnaofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…