Uchaguzi 2020 PICHA: Tofauti ya umati wa watu kati ya CHADEMA na CCM

Uchaguzi 2020 PICHA: Tofauti ya umati wa watu kati ya CHADEMA na CCM

Mambo yanazidi kuwaendea kombo CCM, CDM wanakuja kwa kasi ya ajabu na kuwafunika CCM kila uchao. Mikutano ya CDM imejaa vijana ambao huenda peke yao kwa mapenzi yao kwa chama tofauti na mikutano ya CCM ambayo amri hutolewa kutoka juu kwa njia ya barua kuwataka wafanyakazi kuhudhuria. CCM hutumia malori na mabasi kusomba watu kutoka vijijini kama ilivyorekodiwa huko Bariadi hapa chini.

Hapa ni Mbeya 5th September 2020 ufunguzi wa kampeni kanda ya Nyasa na Mh. Tundu Lissu.
View attachment 1559996

View attachment 1559993
Yaani mwaka huu myaedit lakini mwisho wenu ni tarehe 28/10/2020
 
[/QUOTE]
Aibu wanayoipata hao maccm mwaka huu, hawatakuja kuisahau!

Amgalieni mwongo mwenzenu asiye na haya anayewaongopea mchana kweupe


1599363273773.png
 

Attachments

  • 1599363274033.png
    1599363274033.png
    51.1 KB · Views: 1
Mleta mada hebu jiulize kwa mfano umeliona fuso la ccm limekuja eneo lako kubeba watu ili kuwapeleka kwenye mkutano wa ccm je,utapanda ili kwenda kwenye huo mkutano wa ccm?

1. Kama utapanda hilo fuso tuambie kwanini upande? 2. Na kama hutopanda tuambie ni kwanini?
 
Mambo mengine bwana
Sio kila anayeenda kweny kampen za cdm ni mfuasi Wengine hawajawah kumuona tundu

Kuhudhuria kampen ni hak ya kila raia kusikiliza hoja
Sio kura ni kampen
Na hao wanaobebwa kwenye mafuso ni watu gani mkuu?
 
Umati huu wa wana-Mbeya unanikumbusha ....Kibaya chajitembeza....kizuri chajiuza.... Hongereni wanaMbeya. Lissu shikilia hapo hapo
Sema umati wa watu toka majimbo na wilaya kibao za kanda.Hao hawakuwa watu wa mbeya mjini tu usibinafsishe as if ni wa mbeya mjini tu.Huo uzinduzi haukuwa wa mbeya mjini ulikuwa wa kanda.Subiria CCM tuje hapo uone umati wa wana mbeya mjini tu.Wapiga kura wa TULIA pekee.Tofauti na hao waliotoka mikoa na wilaya zingine kuja kuhudhuria uzinduzi wa kanda ambao siku ya kupiga kura hawatakuwepo hapo kumpigia kura Sugu watakuwa kwao kwenye majimbo yao

Ndipo utaona Sugu anabwagwa mapema asubuhi sababu hana wapiga kura wengi hapo
 
CCM Wanatafuta uhalali ili wakichakachua msilaumu kwan ati walikuwa na watu wengi mikutanoni mwao ila kiukweli hawakubaliki kabisa hawa nzi wa chooni
Nimehesabu haya mabasi na hizo fuso jumla gari 16....Basi ni watu 65@, ujazo wa fuso mkisimama nadhani Mia wanafika au zaidi. Basi 5 = Abiria 325, fuso 11 zilizobaki jumla sawa na watu 1100. Jumla 1365. Hapa ccm wanatafuta uhalali wa kisiasa Ila kiufupi wao ndo chama kilichokufa sio upinzani. MMEKATALIWAAAAA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tofauti kila anapokanyaga Magu ni Nyomi ila mpaka sasa Lissu ana nyomi mbili tu, mwanza na mbeya. Na nyomi ikigoma mitandaoni hatuwaoini chadema ila pia Lissu akiona nyomi jeuri inaongezeka
 
Vivo ivyo, hata mimi sijawai kumuona magufuli ntaenda kumuona tu na sitompigia kura
Mambo mengine bwana
Sio kila anayeenda kweny kampen za cdm ni mfuasi Wengine hawajawah kumuona tundu

Kuhudhuria kampen ni hak ya kila raia kusikiliza hoja
Sio kura ni kampen
 
Najua baada ya october 28 Jf itapooza sana
Cha msingi hapa kwanza ni ukweli kuwa watu wanaenda mikutano ya ccm kwa kuombwa na kulazimishwa. Mapenzi huru kwa ccm hayapo. Mambo ya ushindi wa ccm mpaka sasa siyo ya kura, bali mbinu chafu kwa kusaidiwa na majeshi.

Ndio nasema CCM haiji toka madarakani bila wananchi kufanya maandamano makubwa ikiwezekana hata civil war. Hakika nasema ni kwa njia hiyo tu. Ni lini sijui
 
Tusubiriane sanduku la kura muda huu wa kufundishana .CCM ina wanachama matajiri walio tayari kutoa magari yao kusafirisha watu .Chadema matajiri wamewasusa hawako tayari kuwachangia kwa polite tofauti na kipindi cha Lowasa na Slaa.Chadema haiungwi mkono na matajiri ndio maana nawachangii usafiri wa wanachama

Pili mikutano ya chadema watu ni wachache sababu wanazindua kwa kanda hivyo ile mikutano watu wanatoka mikoa yote kwenye kanda husika kusema wanakuja kwa miguu uongo wengi wanasafiri kwa mabasi na malori toka majimbo ya mikoa mingine na kulala guest house kuhudhuria uzinduzi wa kanda kwa gharama za ofisi za kanda.Kihuhalisia wanaohudhuria mikutano ya chadema ni wachache sababu mikutano ya uzinduzi unayoiona ni ya watu kutoka kanda nzima za wilaya zote za mikoa iliyo kwenye kanda husika wakati CCM umati unaouona ni wa Jimbo husika tu.

Hapo ukitaka kujua mfano watu watu halisi wa mbeya mjini waluohudhuria mkutano wa Lisu wako wangapi? Chukulia hivi mkutano wa uzinduzi wa kanda mbeya mjini waluohudhuria mfano ni mia moja majimbo kwenye kanda yako kumi na yameleta watu kujua wa mbeya mjini tu wako wangapi chukua 120 hawa kwa majimbo 10 jimbo la Mbeya mjini wahudhuriaji halisi ni 12 wakati ukija CCM sisi hatuzindui kwa kanda ni kwa watu hapohapo ukiona waluiohudhuria ni 120 ni 120 jamii wakati wa happy.Kura zikipigwa Leo mahindi nani happy mbeya mjini? Ni CCM kwa kushinda kura 120 kwa 12
Endeleeni kudanganyana yaani mkutano wa kanda hata hamuelewi maana yake mfano kutoka Iringa au nyasa mtu aweza kuja hudhuria mkutano wa uzinduzi wa kanda mbeya mjini kwa miguu?
Hawa nikuwaacha kama walivyo.washajifia bado kuoza.
 
Nimehesabu haya mabasi na hizo fuso jumla gari 16....Basi ni watu 65@, ujazo wa fuso mkisimama nadhani Mia wanafika au zaidi. Basi 5 = Abiria 325, fuso 11 zilizobaki jumla sawa na watu 1100. Jumla 1365. Hapa ccm wanatafuta uhalali wa kisiasa Ila kiufupi wao ndo chama kilichokufa sio upinzani. MMEKATALIWAAAAA😂😂😂😂
Jana mama Maria kawaumbua kasema alilazimishwa ili kuongeza vichwa
 
Mambo mengine bwana
Sio kila anayeenda kweny kampen za cdm ni mfuasi Wengine hawajawah kumuona tundu

Kuhudhuria kampen ni hak ya kila raia kusikiliza hoja
Sio kura ni kampen

Kwa kwenu kumedoda kwa sababu wapiga kura wenu wamebakia nyumbani?

Acheni kampeni basi. Wapiga kura wako majumbani.
 
Mambo mengine bwana
Sio kila anayeenda kweny kampen za cdm ni mfuasi Wengine hawajawah kumuona tundu

Kuhudhuria kampen ni hak ya kila raia kusikiliza hoja
Sio kura ni kampen
Asante na pia zaidi ya 85% wanaojazana kwenye mikutano ya "chukua chako mapema" wanaenda kushangaa wasanii.
 
Matusi,dharau zimetuponza ccm, sijui tufanyaje turudishe imani mbeya, mwanza dar, maana dar tunaenda kupoteza tena
 
Hizi hesabu zako ni kama za Polepole, unachukua moja unakopa mbili unaweka huku..unajumlishia juu,unatoa ya chini

Sikiliza boss ..
Chadema haina uwezo wa kulipia watu nauli isipokua yenyewe ndio inatembeza bakuli kila siku.

Pia wanaohudhuria toka wilayani ni wachache sana na hasa ni wagombea wa nafasi mbalimbali.

Jambo la kweli ni hilo la kwamba Chadema wachangiaji kwa sasa hakuna kwakua wenye uwezo wengi wameshafilisiwa na CCM/Serikali,na pia wanatishwa kuchangia.

Kunywa maji jomba manake leo umelala na viatu pumbavuuuuuu!!!!
Mkishatembeza bakuli na ruzuku ya kila mwezi, hela yenu mnapelekaga wapi? Maana hamna mradi wowote mnaofanya.
 
Back
Top Bottom