Bukondamoyo
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 458
- 490
Mbona membe hajazi wakati watu hawajamuonaLakini anaeenda kwenye mkutano wa CCM hajaenda kuwaangalia wasanii bali ndoo mpiga kura mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona membe hajazi wakati watu hawajamuonaLakini anaeenda kwenye mkutano wa CCM hajaenda kuwaangalia wasanii bali ndoo mpiga kura mwenyewe.
Kumbe ndio sababu ya drone kukataliwa!!???Mmewarekodi kwa drone.
Hayo maswali kamuulize mumeo....hoja hapa ni ccm kulazimisha watu kwenda kwenye mikutanoKwani Mwamba wa kisukuma keshaenda huko kanda ya Nyasa?
Kwani M-Belgiji nae keshaenda Bariadi?
Subiri uuone mziki mnene ndio hautaamini ukisemacho
Kweli unalinganisha bariadi na jiji la mbeya?Mambo yanazidi kuwaendea kombo CCM, CHADEMA wanakuja kwa kasi ya ajabu na kuwafunika CCM kila uchao. Mikutano ya CHADEMA imejaa vijana ambao huenda peke yao kwa mapenzi yao kwa chama tofauti na mikutano ya CCM ambayo amri hutolewa kutoka juu kwa njia ya barua kuwataka wafanyakazi kuhudhuria. CCM hutumia malori na mabasi kusomba watu kutoka vijijini kama ilivyorekodiwa huko Bariadi hapa chini.
Hapa ni Mbeya 5th September 2020 ufunguzi wa kampeni kanda ya Nyasa na Mh. Tundu Lissu.
View attachment 1559996
Hapa ni Bariadi nyumbani kwa Magu cheki malori na mabasi ya kusomba watu.
View attachment 1559993
Nimehesabu haya mabasi na hizo fuso jumla gari 16....Basi ni watu 65@, ujazo wa fuso mkisimama nadhani Mia wanafika au zaidi. Basi 5 = Abiria 325, fuso 11 zilizobaki jumla sawa na watu 1100. Jumla 1365. Hapa ccm wanatafuta uhalali wa kisiasa Ila kiufupi wao ndo chama kilichokufa sio upinzani. MMEKATALIWAAAAA😂😂😂😂
Nashangaa umeka picha ya drone amabyao imechukuwa watu kwa mbali sana kitu ambacho ninyi hamuwezi kukifanya hata mjipata watu bado mnachukuwa picha mlalo tuMambo yanazidi kuwaendea kombo CCM, CHADEMA wanakuja kwa kasi ya ajabu na kuwafunika CCM kila uchao. Mikutano ya CHADEMA imejaa vijana ambao huenda peke yao kwa mapenzi yao kwa chama tofauti na mikutano ya CCM ambayo amri hutolewa kutoka juu kwa njia ya barua kuwataka wafanyakazi kuhudhuria. CCM hutumia malori na mabasi kusomba watu kutoka vijijini kama ilivyorekodiwa huko Bariadi hapa chini.
Hapa ni Mbeya 5th September 2020 ufunguzi wa kampeni kanda ya Nyasa na Mh. Tundu Lissu.
View attachment 1559996
Hapa ni Bariadi nyumbani kwa Magu cheki malori na mabasi ya kusomba watu.
View attachment 1559993
Tahadhari msituharibie image ya kabila la kisukuma hatuna tabia na roho za hivyo , ataje kabila lake alikotokea akiwa kabebwa mgongoni uhutuni huko .Kwani Mwamba wa kisukuma keshaenda huko kanda ya Nyasa?
Kwani M-Belgiji nae keshaenda Bariadi?
Subiri uuone mziki mnene ndio hautaamini ukisemacho
Kukiwa na watu 10000 ukatoa 1500 wanabaki wangapi?Usisahau hayo mabasi na maroli yamewachukua watu kwa trip kadhaa.
Hayo ni ya kwenu mkuu Chief Kabikula lakini tunachojua ni kwamba Rais wa JMT awamu ya tano Mheshimiwa John Pombe Magufuli ni Msukuma halisi......Tahadhari msituharibie image ya kabila la kisukuma hatuna tabia na roho za hivyo , ataje kabila lake alikotokea akiwa kabebwa mgongoni uhutuni huko .
Adi rahaMambo yanazidi kuwaendea kombo CCM, CHADEMA wanakuja kwa kasi ya ajabu na kuwafunika CCM kila uchao. Mikutano ya CHADEMA imejaa vijana ambao huenda peke yao kwa mapenzi yao kwa chama tofauti na mikutano ya CCM ambayo amri hutolewa kutoka juu kwa njia ya barua kuwataka wafanyakazi kuhudhuria. CCM hutumia malori na mabasi kusomba watu kutoka vijijini kama ilivyorekodiwa huko Bariadi hapa chini.
Hapa ni Mbeya 5th September 2020 ufunguzi wa kampeni kanda ya Nyasa na Mh. Tundu Lissu.
View attachment 1559996
Hapa ni Bariadi nyumbani kwa Magu cheki malori na mabasi ya kusomba watu.
View attachment 1559993
Sijawahi piga kura Ila kwa msoto huu walai mapema saa 4 asubui nikalisambaratishe jiwe na kutupa mabaki yake ziwani kabisa.Loooo! Lisu ndiye rais ajaye. Yule mwenye nyodo akapumzike
Halafu unakuta eti polisi na wakurugenzi wa tume wanajipendekeza kwa asiyejali maslai yao huku akikazia kila siku atoongeza mishahara.Watumishi wa umma wanalazimishwa kuhudhuria mikutano yake bwana yule huku ni bwana huyo huyo amesema hatawapandishia mishahara!!! Kweli kiatu cha baniani kizuri.
Nani kakuambia Kuna mwenye hati miliki ya kutawala.Nyumbu wakijipa matumaini hewa. Nchi hii haiwezi kutawaliwa na wakala wa mapenzi ya jinsia mojaView attachment 1560036
Ila mafichoni vinakubalikaVitendo vya uvunjifu wa maadili avikubaliki hadharani,