Picha: Traffic wa Taleban akiongoza magari katika mji wa Kandahar hapo jana

Hawa watu ni wapuuzi sana. Ndio maana mmarekani atarudi hapo na kuwa-colonize totally.
 
ndio maana wananchi wenyewe wanawakimbia.Huyo jamaa bado anaakili ya kupiga risasi na kama hakuna jitahadi za kuwachange mentali hiyo nchi haiwezi kutawalika.
 
Sasa kuongoza magari, bunduki ya nini? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Sharia imeanza rasmi ile akina pondde na uamsho waliokuwa wanaitaka hapo usipo aimama kwenye zebra cross unakutana na shaba ya kichwa
 
Naangalia CNN hapa kuna huyu reporter wao Charissa Ward ni KE anaripoti live kutoka Kabul nyuma yake kuna Mataliban kama 6 au 7 hivi na mitutu yao tayari tayari kama vile wanategemea kushambuliwa dakika yoyote.
Kabisa. Wanawake wameshapotea kwenye TV stations. Hawa jamaa wanakuua kwanza then wanakuhoji baadae
 
Naangalia CNN hapa kuna huyu reporter wao Charissa Ward ni KE anaripoti live kutoka Kabul nyuma yake kuna Mataliban kama 6 au 7 hivi na mitutu yao tayari tayari kama vile wanategemea kushambuliwa dakika yoyote.
Talibana wanacheza na "saikoloji" za watu. Yaani wanajaribu kupait image tofauti na ile ya nyuma ili wawe supported
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…