Tetty JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 26,355 Reaction score 21,411 Jul 20, 2015 #161 Ritz said: Toka lini Dialo na Lowassa wakawa marafiki Dialo mtu wake Membe. Click to expand... Sasa kwa nini alikuwa na wasiwasi wa kunyimwa leseni???
Ritz said: Toka lini Dialo na Lowassa wakawa marafiki Dialo mtu wake Membe. Click to expand... Sasa kwa nini alikuwa na wasiwasi wa kunyimwa leseni???
trigeminal JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 1,944 Reaction score 2,283 Jul 20, 2015 #162 Nakumbuka 2005 JK alijaza watu mara nne ya hawa.. ila alichotufanyia Mungu tu anajua.. mtoa mada tumia kichwa kufikiria na sio kufugia nywele tu
Nakumbuka 2005 JK alijaza watu mara nne ya hawa.. ila alichotufanyia Mungu tu anajua.. mtoa mada tumia kichwa kufikiria na sio kufugia nywele tu
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,296 Reaction score 12,972 Jul 20, 2015 #163 afrodenzi said: uwiiii asante sana mwaya. itabidi nitafute muda mzuri nije kwa wiki au mbili. Click to expand... Karibu sana maah!
afrodenzi said: uwiiii asante sana mwaya. itabidi nitafute muda mzuri nije kwa wiki au mbili. Click to expand... Karibu sana maah!
mgt software JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 13,778 Reaction score 7,145 Jul 20, 2015 #164 haka ni kaumati kanazidiwa hata ka Msigwa Iringa, hakika huyu Padlock hakubaliki hata kwao.
sniper- Member Joined Mar 19, 2014 Posts 22 Reaction score 3 Jul 21, 2015 #165 Wengi wenu posti zenu zimejaa kutumwatumwa tu na kuzipigia promo za kijinga tu
P Peter Majaliwa Senior Member Joined Jun 16, 2017 Posts 161 Reaction score 30 Dec 31, 2018 #166 Kwa walioko mwanza wanielekeze sehemu ambapo naweza patackazi yoyote ile isiyozingatia elimu
Los técnicos JF-Expert Member Joined Sep 14, 2014 Posts 3,012 Reaction score 2,637 Dec 31, 2018 #167 Unajua hulka ya watanzania ni kuona. Hata ukiwatangazia shetani atapita leo saa 7 mchana watanzania watamngoja wamuone Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hulka ya watanzania ni kuona. Hata ukiwatangazia shetani atapita leo saa 7 mchana watanzania watamngoja wamuone Sent using Jamii Forums mobile app