mgoshawampasa
Senior Member
- Jul 30, 2014
- 105
- 27
Mbona kama watu WA kawaida sana tena kwa historia ya CCM ya kupanga watu barabarani sizani kama hawa watu unaweza waita mafuriko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
boda boda wamepewa bei gani mkuu?
Nilikuwa nasubiri huu umbea..nimeangalia ITV mpiga picture kajitahidi kuchukua usawa wa watu ila alikuwa napaotea km wewe hapa jamaa hakuwa hata na watu wa wenye ktk mkutano wa kawaida jimboni.Sidhani km kuna mbunge wa CDM anaweza kuwa na watu kidogo km magufuli tena ktk ukanda wake.
Ndugu,Upenzi mwingine ni wa kijinga tu,sote tulikuwepo na tuliona,inafaa kunyamaza tu au kusema na wewe ya kwako,wengine hatushabikii siasa lakini penye ukweli unapakataaje eti kisa tu wewe ni mpenzi wa chama kingine,ukweli jamaa hana mpinzani tunajua kazi zake acha tu aje ashike nchi tena namuombea apate,japo natamani wapinzani wawe wengi bungeni ili kumpa saport ya kuadabisha watenda kazi serekalini,Magufuli ni jembe bwana!
Naomba ukumbuke hili na ukumbuke kwa moyo sana..things are moving so fast ,so fast that you less educated brain can`t digest.Kinachotokea sasa hivi ni avalanche before october itakuwa full scale catastrophe ...bahati mbaya utafagiliwa kwa utiifu kwa vivuli.Ndugu,Magufuli amekata hoja zao za Ufisadi na Uwajibikaji.Kwa sasa wanajaribu kuokota hoja sehemu yoyote ile ili kuifurahisha roho yao.Magufuli ni Rais wa Tanzania anayesubiri kuapishwa ili wananchi wafahamu maana ya uwajibikaji.
inakuhusu nini wewe mgaagaa na pwani?Wewe si unasubiri kubadili master tuu una cha zaidi ya kuwa mtumwa.Mbona umepanic ghafla umepagawa nini hujui upo kwa nani Lowassa, Padre Slaa au utarudi kwa Lema Arusha.
Upenzi mwingine ni wa kijinga tu,sote tulikuwepo na tuliona,inafaa kunyamaza tu au kusema na wewe ya kwako,wengine hatushabikii siasa lakini penye ukweli unapakataaje eti kisa tu wewe ni mpenzi wa chama kingine,ukweli jamaa hana mpinzani tunajua kazi zake acha tu aje ashike nchi tena namuombea apate,japo natamani wapinzani wawe wengi bungeni ili kumpa saport ya kuadabisha watenda kazi serekalini,Magufuli ni jembe bwana!
Kwani hamumuamini mpaka mumuapishe? Si mumpe tu urahisi. Na huyo atakae muapisha nani malaika au.Ndugu,
Magufuli amekata hoja zao za Ufisadi na Uwajibikaji.
Kwa sasa wanajaribu kuokota hoja sehemu yoyote ile ili kuifurahisha roho yao.
Magufuli ni Rais wa Tanzania anayesubiri kuapishwa ili wananchi wafahamu maana ya uwajibikaji.
Sijui ni makusudi au alipitiwa, hapakuwa na taarifa yeyote ya kuwasili kwa JP mwanza, hata StarTV inayomilikiwa na Diallo haikutoa matangazo ya ujio wa JP wala hapakuwa na gari la matangazo lililopita mtaani kuwataarifu wananchi juu ya ujio wake.
Wananchi wengi wamechukizwa na kitendo cha ccm Mwanza kutokuwataarifu wananchi badala yake wakaenda kuchukua vijana wa bodaboda wa chadema na kuwajazia mafuta na posho waende kumlaki JP uwanja wa ndege jambo lililochukuliwa kuwa ni hujuma dhidi ya magufuli.
Ni wananchi wachache walijitokeza baada ya kusikia makelele na honi za bodaboda, kama ingetolewa taarifa mapema basi msafara wa JP ungechukua wiki moja kutoka uwanja wa ndege hadi mjini kwani wananchi walikuwa na shauku kubwa sana ya kumlaki mteule wao.
Mwanza,!!!!Diallo mh!Huyu alikuwa Pro-Lohassa mpaka akadiriki kutamka kutishiwa kunyimwa LESENI.
Ngoja tusubiri bado tunasearch mtandao....
Acha uwongo wewe unaishi mwanza.ipi
Wakati matangazo yamepigwa na gari la cocacola na gari ya semira siku 3 kablaa ya tukio na radio zimetangaza mpaka magazeti unataka kupotosha umma na akili zakp za kimasaburii
Na kibaya zaidi anaelekezwa njia na vipofu.........Mkuu naona siku hizi mwanadiwani amepoteza muelekeo
Wewe ndo unaleta uongo, tuwekee clip ya starTV wakitangaza ujio wa JP, hilo scania lilipita mahina? Buswelu? Mkuyuni? Igombe? lingepitaje? hilo gari la semira lilipita mitaa ipi? Hapa Mwanza watu hawana habari kama JP alikuwa Mwanza.Acha uwongo wewe unaishi mwanza.ipi
Wakati matangazo yamepigwa na gari la cocacola na gari ya semira siku 3 kablaa ya tukio na radio zimetangaza mpaka magazeti unataka kupotosha umma na akili zakp za kimasaburii
Toka lini Dialo na Lowassa wakawa marafiki Dialo mtu wake Membe.Mwanza,!!!!Diallo mh!Huyu alikuwa Pro-Lohassa mpaka akadiriki kutamka kutishiwa kunyimwa LESENI.
Ngoja tusubiri bado tunasearch mtandao....
Mkuu kuna umbali mrefu kutoka airport ya Mwanza mpaka ofisi za CCM ni msururu mrefu wa magari naona wakazi wa Ilemela, Igombe, Pansiansi, Nyamanoro, Kirumba wamejitokeza kumpokea Dr.Magufuli.
Nyamagana na Imemela ndio majimbo yaliyopo Mwanza mjini je yanaongozwa na wabunge kutoka chama gani?