Kwani amejitakia?
Asiyefunzwa na *****,...
Kifua hicho dadaHajui kitakachofuata
naye kaitwa ?Jamani nyie mastaa mna vituko ,kutwa kutuvalia vinguo vya ajabu insta kumbe mnajuaga kuvaa kiheshima?
Haya wasalimie huko, usisahau kumtaja teja mwenzio Young dee.
.
Maana akitoka huko hata hamu na kaself Hana hako ka kuagia mashabiki zakeππππ imeshakua fasheni saivi ukiitwa police na kaselfi ka ukumbusho muhimu maana......
Tehe! Thubutu! Ile kwake?Hiki ndo kipindi cha kuonyesha unajua ku-care, hapo unatakiwa kumpa kampani bebi huku ukimliwaza sasa sijui akina Hance Mtanashati wamekimbia wapi mpaka mtoto anaripoti peke yake!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tehe! Thubutu! Ile kwake?
Wow [emoji4] [emoji4]My daughter is your namesake, she just reached 2 this month.