Picha: Tunda akiwa njiani kuelekea polisi

Picha: Tunda akiwa njiani kuelekea polisi

Central sio serrena hotel.... ngoja arud kutoka huko.. atakuwa sura gani
 
yeye
Jamani nyie mastaa mna vituko ,kutwa kutuvalia vinguo vya ajabu insta kumbe mnajuaga kuvaa kiheshima?

Haya wasalimie huko, usisahau kumtaja teja mwenzio Young dee.

.
4a9671ed849df8869007005d5fc45365.jpg
1dcbb69d2ab2da2afaca58330c3a2b3d.jpg
naye kaitwa ?
 
Hiki ndo kipindi cha kuonyesha unajua ku-care, hapo unatakiwa kumpa kampani bebi huku ukimliwaza sasa sijui akina Hance Mtanashati wamekimbia wapi mpaka mtoto anaripoti peke yake!
Tehe! Thubutu! Ile kwake?
 
My daughter is your namesake, she just reached 2 this month.
Wow [emoji4] [emoji4]

I pray that she grow up to be a very brilliant, smart and adorable woman [emoji120]
 
Back
Top Bottom