Picha: Tunda Man na Nyota Ndogo wanaswa

Picha: Tunda Man na Nyota Ndogo wanaswa

Hakuna cha matumaini ila ukweli ndo huo.....huyo nyota ndogo kajisusa tu.Uweusi ndo unamfanya ashindwe hata kusugua gaga???

Guu linatisha kwa kweli, eti staa mmh!! Atumwambii ajichubue ila ajiweke kama mwanamke kidog miguu kama magimbi ya igunga, halafu mademu kama hao wanatogaga na wanaume bei mbaya
 
Hahaha kwa hiyo matumaini na small star wamefanana?

Hata matumaini wetu ana nafuu kidgo, hii miguu ya nyota ndogo kwa kwelo mmh!! Halafu kajiachia migiu juu nyie watu wana makusidi aissdj,au ndo mambo ya be yourself , mmh hata kama aiseeh siku izi kuwa kama zombie utake wewe dawa had za kuongeza mashav zipo
 
Mwe kweli Cheusi Dawa na Cheupe Mangala.Nyota ndogo utadhani alipinduka na gari la kiwi?

Mi miguu tu khaa!! Hata mpoki ana nafuu guu ka kwato? Mmh hapana kwa kweli
 
mh yani hapo Tunda ndo anaonekana mbebe u know( in mtoto wa Malecela voice) uyo shost kashupaa ka kina serena
 
hhahaa watu wanaponda , embu na wao wa-upload pic za mademu zenu kama hatujakimbia humu

attachment.php
 
hivi huyu nyota ndogo ndo yule aliyesemekana alikuwa na uhusiano na A.Y?
 
hivi huyu nyota ndogo ndo yule aliyesemekana alikuwa na uhusiano na A.Y?
Kwa hiyo A.Y alishajenga kibanda hapo?I CAN'T BELIEVE MY MACHO?sema Nyota ndogo mtoto wa Mombasa huwezi jua A.Y alipewa nini?
 
Kwa hiyo A.Y alishajenga kibanda hapo?I CAN'T BELIEVE MY MACHO?sema Nyota ndogo mtoto wa Mombasa huwezi jua A.Y alipewa nini?
duh!nimeshangaa sana,naona yupo local sana
 
Na miguu juu kamanua mwenyewe hatak shida, huyu anatak kumpiku anne kansiime kwa u comedy

Hahahaaa!mwe warumi binamu wee unamaneno hahahahaaa!sema hata kaka etu ana kwato zuri kuliko huyo wifi hapo jamani.
 
Last edited by a moderator:
Na miguu juu kamanua mwenyewe hatak shida, huyu anatak kumpiku anne kansiime kwa u comedy

Hahahaaa!mwe warumi binamu wee unamaneno hahahahaaa!sema hata kaka etu ana kwato zuri kuliko huyo wifi hapo jamani.
 
Last edited by a moderator:
Kwa weusi huo hata mimi ningemkana kama Tundaman.Demu mweusi kama lami
 
Kabang! Memba wa Kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar, Khalid Ramadhan ' Tunda Man ' na mwanamuziki wa nchini Kenya, Mwanaisha Abdallah ' Nyota Ndogo ' wamenaswa laivu wakiwa kwenye pozi la mahaba niue.

Kwa mujibu wa chanzo chetu makini kutoka nchini humo, wawili hao walikuwa wakijiachia nyumbani kwa Nyota Ndogo huku kukiwa na madai mazito kuwa eti wanapika na kupakuwa. Ilidaiwa kwamba Tunda Man anapokwenda Kenya huwa anafikia nyumbani kwa Nyota Ndogo.

"Wasanii wengi wanakuja Kenya wanajifanya kuja kufanya shoo kumbe wanawafuata wanawake zao ila mimi namsihi Tunda Man ajiangalie, yasije yakamkuta kama ya wasanii wengine walivyopewa masaa ishirini na nne wasikanyage Kenya tena, " kilisema chanzo hicho.

Baada ya kupata maelezo hayo, kachero wa Ijumaa Wikienda alimvutia waya Tunda Man na kumpa hongera ya kummiliki Nyota Ndogo ambapo alikuja juu na kudai kuwa anahisi anataka kuchafuliwa .

"Kaka nadhani unajua kuwa nina mke na sijawahi kupata skendo kubwa kama hiyo, Nyota Ndogo namheshimu kama dada yangu na sijawahi hata kufikiria kumtongoza please achana na hiyo habari, " alijitetea Tunda Man bila kujua tuna picha zao za mahaba.
kisa nini?
 
Back
Top Bottom