Picha: Tunda Man na Nyota Ndogo wanaswa

Picha: Tunda Man na Nyota Ndogo wanaswa

Hahahaaa!mwe warumi binamu wee unamaneno hahahahaaa!sema hata kaka etu ana kwato zuri kuliko huyo wifi hapo jamani.

Mmh!!! Hapana kwa kwel hatumtaki, wabanjuane uko uko uku nyota ndogo hatumtaki, mbona staa mwenzie cheusi dawa jide mweusi ka t@ko la mpoki ila kajitengeneza walahi unamuona , sasa bi mdanga hatak kujiongeza
 
Last edited by a moderator:
hhahaa watu wanaponda , embu na wao wa-upload pic za mademu zenu kama hatujakimbia humu

attachment.php

Kumbe ni Kweli kuna watu hawana Viatu....! Humu Duniani ... ndio maana alilia kazoea jela... Dada yake kidato anaumwa na tumboni ana mtoto hivi ni nani aliyemuachisha masomo....
 
Mmmhhhh bas atafute hata ka losheni ateleze ngozi mweee wanaume weupe nao kwa mademu mazombie hawajambo
Ah aah ,wangu black beauty wa ukweli eh! ingawa my dadas walinitupia dongo siku ya kuoa (siwasahau )kuwa sasa kaka unataka kutumiksia rangi ya kiza kwa vishangazi vyetu alafu vitupotee umeme ukizimika! ha!ha! ha!
 
Kumbe ni Kweli kuna watu hawana Viatu....! Humu Duniani ... ndio maana alilia kazoea jela... Dada yake kidato anaumwa na tumboni ana mtoto hivi ni nani aliyemuachisha masomo....
naona umetoa mega.mix ya ukweli matunda vs nyota kubwa
 
Huu umbea nao shida sana sasa kama anatoka nae hatok nae sis yann.mbona kuna mambo mengi inaabid yaandikwe hawaandiki[

Hii ni celebrity forum bwana.
 
Dinazarde;Halaf et black is beatiful kama sio kuwapa matumainii tu
Aaah..kuna watu na viatu dunianiii....ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndaniiii....
 
Dinazarde;Halaf et black is beatiful kama sio kuwapa matumainii tu
Aaah..kuna watu na viatu dunianiii....ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndaniiii....

Yaan huo weusi kibokooo
 
Back
Top Bottom