Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa!mwe warumi binamu wee unamaneno hahahahaaa!sema hata kaka etu ana kwato zuri kuliko huyo wifi hapo jamani.
Ngachokaaaa mieee yaan! !! Ila huku nyuma kafungasha sura sasa na weusi wa kijaluo hata usoft hanaa
hhahaa watu wanaponda , embu na wao wa-upload pic za mademu zenu kama hatujakimbia humu
![]()
heeeeee mabwaku mbona nyota mwenyewe kama kajichokea??
Duh huyu si ana mke
Ah aah ,wangu black beauty wa ukweli eh! ingawa my dadas walinitupia dongo siku ya kuoa (siwasahau )kuwa sasa kaka unataka kutumiksia rangi ya kiza kwa vishangazi vyetu alafu vitupotee umeme ukizimika! ha!ha! ha!Mmmhhhh bas atafute hata ka losheni ateleze ngozi mweee wanaume weupe nao kwa mademu mazombie hawajambo
naona umetoa mega.mix ya ukweli matunda vs nyota kubwaKumbe ni Kweli kuna watu hawana Viatu....! Humu Duniani ... ndio maana alilia kazoea jela... Dada yake kidato anaumwa na tumboni ana mtoto hivi ni nani aliyemuachisha masomo....
Dinazarde;Halaf et black is beatiful kama sio kuwapa matumainii tu
Aaah..kuna watu na viatu dunianiii....ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndaniiii....
hivi huyu nyota ndogo ndo yule aliyesemekana alikuwa na uhusiano na A.Y?