PICHA: Tundu Lissu anavaa kishamba sana utafikiri wanasiasa wa wakati wa ukoloni

Mkuu, watu wanajilinda na majanga, hivyo kama ni oversize yeye ndie amependa; pilipili usiokula yakuwashia nini? Potezea tu.
Watu wakipata madaraka makubwa hijipeleka pale CHUO Cha diplomasia kula ka course Cha etiquette kujua namna ya ku behave kama Kiongozi kuanzia kuongea, kuvaa, kula , kusalimiana, kukaa, nk Sasa yeye anavamia tuu uongozi matokea yake ndio hiyo aibu. Uongozi unaambo mengi sio rahisi kama kukosoa. Sasa mchawi kapewa Mwana alee aache kulalamika mara siku Kuta pesa hizo sio tabia za Kiongozi. Tuyaone Yale aliyokuwa anayakosoa kuwa atayanyoosha kama malaika
 
Leteni Pictures Ya Jiwe Akiwa Kavaa Kanzu
Akiwa Waziri Wa Ujenzi
 
Umeongea ukweli mtupu.
 
"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people".
Eleanor Roosevelt
 
Leteni Pictures Ya Jiwe Akiwa Kavaa Kanzu
Akiwa Waziri Wa Ujenzi
Mkuu, la MSINGI sisi wananchi tunataka kuona KATIBA ya NCHI inatekelezwa ipasavyo, kwenye nyanja zote, na hasa katika kuondoa RUSHWA, kulinda HAKI/UTU na USTAWI WA JAMII.
 
Lakini picha ya Magufuli ni ya miaka ya 1995.
Hoja ya Lucas bado ina mashiko.
Mavazi ya mwaka 2025 hayatakiwi kuwa sawa na Yale ya 1995 kurudi nyuma!.
Hayo makoti oversize Magufuli alikuwa anavaa akiwa rais, labda useme alikuwa rais miaka hiyo.
 
Mwanzo umeanza vizuri tu ila mwishoni sasa kumbe ni wale wale
 
hahahahahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…