Mkuu, watu wanajilinda na majanga, hivyo kama ni oversize yeye ndie amependa; pilipili usiokula yakuwashia nini? Potezea tu.Koti la suti ni oversize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, watu wanajilinda na majanga, hivyo kama ni oversize yeye ndie amependa; pilipili usiokula yakuwashia nini? Potezea tu.Koti la suti ni oversize
Anajilinda na majanga gani kwa mkoti mkubwa kiasi hicho.Mkuu, watu wanajilinda na majanga, hivyo kama ni oversize yeye ndie amependa; pilipili usiokula yakuwashia nini? Potezea tu.
Watu wakipata madaraka makubwa hijipeleka pale CHUO Cha diplomasia kula ka course Cha etiquette kujua namna ya ku behave kama Kiongozi kuanzia kuongea, kuvaa, kula , kusalimiana, kukaa, nk Sasa yeye anavamia tuu uongozi matokea yake ndio hiyo aibu. Uongozi unaambo mengi sio rahisi kama kukosoa. Sasa mchawi kapewa Mwana alee aache kulalamika mara siku Kuta pesa hizo sio tabia za Kiongozi. Tuyaone Yale aliyokuwa anayakosoa kuwa atayanyoosha kama malaikaMkuu, watu wanajilinda na majanga, hivyo kama ni oversize yeye ndie amependa; pilipili usiokula yakuwashia nini? Potezea tu.
Mkuu, majanga ni mengi sana ikiweno na la wasiojulikana; mbona kwenye hizo picha naona wapo kama watatu wamezaa oversize? Au wao wenginesi HABARI!Anajilinda na majanga gani kwa mkoti mkubwa kiasi hicho.
Tofauti ina pande mbili,tambua hilo kwanzaanakitu cha tofauti ndo maana unamjadili
Umeongea ukweli mtupu.Watu wakipata madaraka makubwa hijipeleka pale CHUO Cha diplomasia kula ka course Cha etiquette kujua namna ya ku behave kama Kiongozi kuanzia kuongea, kuvaa, kula , kusalimiana, kukaa, nk Sasa yeye anavamia tuu uongozi matokea yake ndio hiyo aibu. Uongozi unaambo mengi sio rahisi kama kukosoa. Sasa mchawi kapewa Mwana alee aache kulalamika mara siku Kuta pesa hizo sio tabia za Kiongozi. Tuyaone Yale aliyokuwa anayakosoa kuwa atayanyoosha kama malaika
Nani unampa kazi hiyo ili akufanyie wewe?Leteni Pictures Ya Jiwe Akiwa Kavaa Kanzu
Akiwa Waziri Wa Ujenzi
Mkuu, la MSINGI sisi wananchi tunataka kuona KATIBA ya NCHI inatekelezwa ipasavyo, kwenye nyanja zote, na hasa katika kuondoa RUSHWA, kulinda HAKI/UTU na USTAWI WA JAMII.Leteni Pictures Ya Jiwe Akiwa Kavaa Kanzu
Akiwa Waziri Wa Ujenzi
Hayo makoti oversize Magufuli alikuwa anavaa akiwa rais, labda useme alikuwa rais miaka hiyo.Lakini picha ya Magufuli ni ya miaka ya 1995.
Hoja ya Lucas bado ina mashiko.
Mavazi ya mwaka 2025 hayatakiwi kuwa sawa na Yale ya 1995 kurudi nyuma!.
Mkuu, mbona kazi hii ya huyu jamaa wa uponzani umeitekeleza vizuri sana, tena kwa weledi? Mfanyie tu.Nani unampa kazi hiyo ili akufanyie wewe?
Kwa hiyo Lissu anaiga kuvaa makoti oversize?Hayo makoti oversize Magufuli alikuwa anavaa akiwa rais, labda useme alikuwa rais miaka hiyo.
Amuige nani?Kwa hiyo Lissu anaiga kuvaa makoti oversize?
Mwanzo umeanza vizuri tu ila mwishoni sasa kumbe ni wale wale
Lete picha Magufuli akiwa rais kavaa oversize!Hayo makoti oversize Magufuli alikuwa anavaa akiwa rais, labda useme alikuwa rais miaka hiyo.
hahahahahaaaaaNdugu zangu Watanzania,
Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na katika tukio lipi na hata muonekano tu wa rangi ya nguo.
Unapokuwa kiongozi mkubwa hata ukataji wako tu wa nywele ni lazima uakisi ukumbwa wa nafasi yako kiuongozi. Siyo kiongozi unakata nywele kihuni huni tu Utafikiri ulitegesha tu kichwa kwa kinyozi anayejifunza kunyoa .huku wewe ukiwa umefumba macho Utafikiri unakwepa vumbi .
Hata ufungaji tu wa mkanda wako kiunoni ni lazima uwe wa makini . Na siyo unafunga suruali Utafikiri mkanda ni mdogo huku suruali likiwa limekunjamana Utafikiri lilikaliwa na abiria au uliweka kichwani ulipokuwa umelala usiku au Utafikiri ulilala nalo kwenye Mkeka .
Hata namna ya kukaa tu kwenye kiti uwapo mahali popote pale kuna mikao yake. Na siyo unakaa kwenye kiti mbele ya Camera utafikiri unaoto moto .umetandaza miguu Utafikiri upo Mwenyewe. Kiongozi wewe ni wa mfano na hivyo inahitaji umakini sana.
Sasa ukimuangalia Lissu unaona ni mtu ambaye yupo kishamba sana ,ni mtu ambaye bado ukijiji haujamtoka kichwani. Unajua mtu anaweza akatoka kijijini na kuishi mjini lakini akawa bado ana kijiji na ukijiji kichwani mwake ,akawa bado ana mapori kichwani na akilini yanayohitaji kufyekwa .
Embu Tazama hapa Lissu ambaye ndiye Anajiita Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa .Embu angalia hilo koti lake Utafikiri alipimwa mtu mwingine halafu ndio akashonewa na akavalishwa lissu. Kiukweli Lissu anasikitisha sana. Na hapo ni msomi ambaye amesoma mpaka Ulaya na kuzunguka Ulaya lakini haya ndio Makoti yake anayovaa leo mwaka 2025. Halafu eti anataka awe Rais. Sijui ili amuongoze Nani.
Angalia hapa👎View attachment 3252722View attachment 3252848
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Noted but don't forget " mama anaupiga mwingi.""Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people".
Eleanor Roosevelt