PICHA: Tundu Lissu anavaa kishamba sana utafikiri wanasiasa wa wakati wa ukoloni

Kwa taarifa yako ni kuwa kwa sasa watanzania wengi wanaendelea kupaza Sauti zao wakitaka katiba yetu ibadilishwe ili Mama aendelee kuongoza Taifa letu mpaka achoke mwenyewe. hii ni kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wenye kugusa Maisha ya watanzania pamoja na kukubalika kwake kwa watanzania
 
Chama kinaongozwa na matapeli wa kisiasa
 
Kwa mara ya kwanza leo umeongea point.
 
Rais wetu ,2025
 
Ninyi endeleeni na matone tone jangwani huko. Sisi CCM tupo kwenye chemichemi isiyokatika Masika na kiangazi.
Chem chem ya hela zetu za Kodi ndio maana mnafikia hadi kuharibu chaguzi na kuzulumu kura.
 
Washeli yako inawasha eeeh?
 
Wewe kweli chawa.unaacha kufikiria uwezo wa mtu unawaza mavazi🙆
 
Huna hoja we subiri rushwa za chumvi na viberiti wakati wa kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…