Wingi wa comments kwenye andiko lako ndio jibu lenyewe.Labda Wewe ndiye hujitambui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wingi wa comments kwenye andiko lako ndio jibu lenyewe.Labda Wewe ndiye hujitambui.
Lucas Mwashambwa anataka aoelewe yeye awe anabubujishwa machozi kila siku usikuHuyo jamaa ana mke na watoto. Acha kumwonea wivu hadi kwenye mavazi. Hiyo kazi mwachie mkewe
Wala huhitaji kuleta hasira zako hapa bali peleka mahasira yako kwa fundi wa lissuUna nyege sana wewe unawshwa huko nyuma Nini????
Yaani eti mtu mzima una andika topic ya kitoto hivi. Pole sana tutakuombeaNdugu zangu Watanzania,
Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na katika tukio lipi na hata muonekano tu wa rangi ya nguo.
Unapokuwa kiongozi mkubwa hata ukataji wako tu wa nywele ni lazima uakisi ukumbwa wa nafasi yako kiuongozi. Siyo kiongozi unakata nywele kihuni huni tu Utafikiri ulitegesha tu kichwa kwa kinyozi anayejifunza kunyoa huku wewe ukiwa umefumba macho Utafikiri unakwepa vumbi.
Hata ufungaji tu wa mkanda wako kiunoni ni lazima uwe wa makini. Na siyo unafunga suruali Utafikiri mkanda ni mdogo huku suruali likiwa limekunjamana Utafikiri lilikaliwa na abiria au uliweka kichwani ulipokuwa umelala usiku au Utafikiri ulilala nalo kwenye Mkeka.
Hata namna ya kukaa tu kwenye kiti uwapo mahali popote pale kuna mikao yake. Na siyo unakaa kwenye kiti mbele ya Camera utafikiri unaoto moto umetandaza miguu Utafikiri upo Mwenyewe. Kiongozi wewe ni wa mfano na hivyo inahitaji umakini sana.
Sasa ukimuangalia Lissu unaona ni mtu ambaye yupo kishamba sana, ni mtu ambaye bado ukijiji haujamtoka kichwani. Unajua mtu anaweza akatoka kijijini na kuishi mjini lakini akawa bado ana kijiji na ukijiji kichwani mwake ,akawa bado ana mapori kichwani na akilini yanayohitaji kufyekwa.
Embu Tazama hapa Lissu ambaye ndiye Anajiita Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa .Embu angalia hilo koti lake Utafikiri alipimwa mtu mwingine halafu ndio akashonewa na akavalishwa lissu. Kiukweli Lissu anasikitisha sana. Na hapo ni msomi ambaye amesoma mpaka Ulaya na kuzunguka Ulaya lakini haya ndio Makoti yake anayovaa leo mwaka 2025. Halafu eti anataka awe Rais. Sijui ili amuongoze Nani.
Angalia hapa👎View attachment 3252722View attachment 3252848
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wala huhitaji kuwa na hasira . Maana siyo mimi niliyeshona huu mkotiYaani eti mtu mzima una andika topic ya kitoto hivi. Pole sana tutakuombea
Maisha ni kama gwaride. Wamwisho anaweza kua wa kwanzaMjomba kutazama chupi za watu sio taarabu? Umekosa hoja? Ushasahau mavazi ya jiwe? Na wasira anavaaje?
Ndio nimemuachia na makoti yake haya👎
Wewe endelea kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimuShoga wewe,kma mako
Kwani vipimo vya hilo koti lake alipimwa mwingine halafu akashonewa yeye? Au ulipimwa wewe kwa niaba yake?Lissu bahati mbaya hana pesa ya mwana mitindo kama Ikulu. Kwa Watanzania hata akivaa kampula haina shida ili mradi asaidie kuleta haki na demokrasia nchini.
WATAKUWOWA (in Haya's voice)Ndugu zangu Watanzania,
Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na katika tukio lipi na hata muonekano tu wa rangi ya nguo.
Unapokuwa kiongozi mkubwa hata ukataji wako tu wa nywele ni lazima uakisi ukumbwa wa nafasi yako kiuongozi. Siyo kiongozi unakata nywele kihuni huni tu Utafikiri ulitegesha tu kichwa kwa kinyozi anayejifunza kunyoa huku wewe ukiwa umefumba macho Utafikiri unakwepa vumbi.
Hata ufungaji tu wa mkanda wako kiunoni ni lazima uwe wa makini. Na siyo unafunga suruali Utafikiri mkanda ni mdogo huku suruali likiwa limekunjamana Utafikiri lilikaliwa na abiria au uliweka kichwani ulipokuwa umelala usiku au Utafikiri ulilala nalo kwenye Mkeka.
Hata namna ya kukaa tu kwenye kiti uwapo mahali popote pale kuna mikao yake. Na siyo unakaa kwenye kiti mbele ya Camera utafikiri unaoto moto umetandaza miguu Utafikiri upo Mwenyewe. Kiongozi wewe ni wa mfano na hivyo inahitaji umakini sana.
Sasa ukimuangalia Lissu unaona ni mtu ambaye yupo kishamba sana, ni mtu ambaye bado ukijiji haujamtoka kichwani. Unajua mtu anaweza akatoka kijijini na kuishi mjini lakini akawa bado ana kijiji na ukijiji kichwani mwake ,akawa bado ana mapori kichwani na akilini yanayohitaji kufyekwa.
Embu Tazama hapa Lissu ambaye ndiye Anajiita Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa .Embu angalia hilo koti lake Utafikiri alipimwa mtu mwingine halafu ndio akashonewa na akavalishwa lissu. Kiukweli Lissu anasikitisha sana. Na hapo ni msomi ambaye amesoma mpaka Ulaya na kuzunguka Ulaya lakini haya ndio Makoti yake anayovaa leo mwaka 2025. Halafu eti anataka awe Rais. Sijui ili amuongoze Nani.
Angalia hapa👎View attachment 3252722View attachment 3252848
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa taarifa yako ni kuwa kwa sasa watanzania wengi wanaendelea kupaza Sauti zao wakitaka katiba yetu ibadilishwe ili Mama aendelee kuongoza Taifa letu mpaka achoke mwenyewe. hii ni kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wenye kugusa Maisha ya watanzania pamoja na kukubalika kwake kwa watanzania
Of kozi, wameshamuwowa🤣🤣🤣🤣WATAKUWOWA (in Haya's voice)