PICHA: Tundu Lissu anavaa kishamba sana utafikiri wanasiasa wa wakati wa ukoloni

Ndugu zangu Watanzania,

Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na katika tukio lipi na hata muonekano tu wa rangi ya nguo.

Unapokuwa kiongozi mkubwa hata ukataji wako tu wa nywele ni lazima uakisi ukumbwa wa nafasi yako kiuongozi. Siyo kiongozi unakata nywele kihuni huni tu Utafikiri ulitegesha tu kichwa kwa kinyozi anayejifunza kunyoa huku wewe ukiwa umefumba macho Utafikiri unakwepa vumbi.

Hata ufungaji tu wa mkanda wako kiunoni ni lazima uwe wa makini. Na siyo unafunga suruali Utafikiri mkanda ni mdogo huku suruali likiwa limekunjamana Utafikiri lilikaliwa na abiria au uliweka kichwani ulipokuwa umelala usiku au Utafikiri ulilala nalo kwenye Mkeka.

Hata namna ya kukaa tu kwenye kiti uwapo mahali popote pale kuna mikao yake. Na siyo unakaa kwenye kiti mbele ya Camera utafikiri unaoto moto umetandaza miguu Utafikiri upo Mwenyewe. Kiongozi wewe ni wa mfano na hivyo inahitaji umakini sana.

Sasa ukimuangalia Lissu unaona ni mtu ambaye yupo kishamba sana, ni mtu ambaye bado ukijiji haujamtoka kichwani. Unajua mtu anaweza akatoka kijijini na kuishi mjini lakini akawa bado ana kijiji na ukijiji kichwani mwake ,akawa bado ana mapori kichwani na akilini yanayohitaji kufyekwa.

Embu Tazama hapa Lissu ambaye ndiye Anajiita Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa .Embu angalia hilo koti lake Utafikiri alipimwa mtu mwingine halafu ndio akashonewa na akavalishwa lissu. Kiukweli Lissu anasikitisha sana. Na hapo ni msomi ambaye amesoma mpaka Ulaya na kuzunguka Ulaya lakini haya ndio Makoti yake anayovaa leo mwaka 2025. Halafu eti anataka awe Rais. Sijui ili amuongoze Nani.

Angalia hapa👎View attachment 3252722View attachment 3252848

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Yaani eti mtu mzima una andika topic ya kitoto hivi. Pole sana tutakuombea
 
ephen_ hapa huna mtu.
Naomba niachie ephen wanguu. Wewe pambana na mimi tu. Kwa ephen unakuwa unajitafutia matatizo tu. Hiyo ndio mboni yanguu. Maana nitakuja na kikosi kazi kitakachokuweka mtu kati na kukushikisha adabu ambayo utajuta kuzaliwa kwako.
 
Yaani eti mtu mzima una andika topic ya kitoto hivi. Pole sana tutakuombea
Wala huhitaji kuwa na hasira . Maana siyo mimi niliyeshona huu mkoti

👉
Screenshot_20250228-115922_1.jpg
 
Lissu bahati mbaya hana pesa ya mwana mitindo kama Ikulu. Kwa Watanzania hata akivaa kampula haina shida ili mradi asaidie kuleta haki na demokrasia nchini.
Kwani vipimo vya hilo koti lake alipimwa mwingine halafu akashonewa yeye? Au ulipimwa wewe kwa niaba yake?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na katika tukio lipi na hata muonekano tu wa rangi ya nguo.

Unapokuwa kiongozi mkubwa hata ukataji wako tu wa nywele ni lazima uakisi ukumbwa wa nafasi yako kiuongozi. Siyo kiongozi unakata nywele kihuni huni tu Utafikiri ulitegesha tu kichwa kwa kinyozi anayejifunza kunyoa huku wewe ukiwa umefumba macho Utafikiri unakwepa vumbi.

Hata ufungaji tu wa mkanda wako kiunoni ni lazima uwe wa makini. Na siyo unafunga suruali Utafikiri mkanda ni mdogo huku suruali likiwa limekunjamana Utafikiri lilikaliwa na abiria au uliweka kichwani ulipokuwa umelala usiku au Utafikiri ulilala nalo kwenye Mkeka.

Hata namna ya kukaa tu kwenye kiti uwapo mahali popote pale kuna mikao yake. Na siyo unakaa kwenye kiti mbele ya Camera utafikiri unaoto moto umetandaza miguu Utafikiri upo Mwenyewe. Kiongozi wewe ni wa mfano na hivyo inahitaji umakini sana.

Sasa ukimuangalia Lissu unaona ni mtu ambaye yupo kishamba sana, ni mtu ambaye bado ukijiji haujamtoka kichwani. Unajua mtu anaweza akatoka kijijini na kuishi mjini lakini akawa bado ana kijiji na ukijiji kichwani mwake ,akawa bado ana mapori kichwani na akilini yanayohitaji kufyekwa.

Embu Tazama hapa Lissu ambaye ndiye Anajiita Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa .Embu angalia hilo koti lake Utafikiri alipimwa mtu mwingine halafu ndio akashonewa na akavalishwa lissu. Kiukweli Lissu anasikitisha sana. Na hapo ni msomi ambaye amesoma mpaka Ulaya na kuzunguka Ulaya lakini haya ndio Makoti yake anayovaa leo mwaka 2025. Halafu eti anataka awe Rais. Sijui ili amuongoze Nani.

Angalia hapa👎View attachment 3252722View attachment 3252848

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
WATAKUWOWA (in Haya's voice)
 
Kwa taarifa yako ni kuwa kwa sasa watanzania wengi wanaendelea kupaza Sauti zao wakitaka katiba yetu ibadilishwe ili Mama aendelee kuongoza Taifa letu mpaka achoke mwenyewe. hii ni kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wenye kugusa Maisha ya watanzania pamoja na kukubalika kwake kwa watanzania

Unaonekana akili zako haziko sawa.

Ndio maana hujali mustakabali wako binafsi na taifa kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom