Itakuwa huyu mleta mada wanamdungunyua eti e ππMwisho utakujasema anayo ndogo/kubwa mwanaume! Mwanaume anaangalia mavazi ya mwanaume duh una hatari wewe! Utakuwa ushatengenezwa kijana sio bureπ
Jibu swali.Endelea kutafuta ujumbe wa nyumba kumi
Kwani wewe ni kipofu au moshi umekupofua akili na machoYapo sehemu gani?
Ni mdadaWewe ni wa jinsia ya kiume? Bandiko kaandika dada yako au wewe mwenyewe? Mbona una tabia za kingese sana. Mwanaume unakaa na kuandika gazeti la mwanaume mwenzako anachovaa?
Unataka avae pedo kama unazovaa weweππππ ewwwwwwNdugu zangu Watanzania,
Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na katika tukio lipi na hata muonekano tu wa rangi ya nguo.
Unapokuwa kiongozi mkubwa hata ukataji wako tu wa nywele ni lazima uakisi ukumbwa wa nafasi yako kiuongozi. Siyo kiongozi unakata nywele kihuni huni tu Utafikiri ulitegesha tu kichwa kwa kinyozi anayejifunza kunyoa .huku wewe ukiwa umefumba macho Utafikiri unakwepa vumbi .
Hata ufungaji tu wa mkanda wako kiunoni ni lazima uwe wa makini . Na siyo unafunga suruali Utafikiri mkanda ni mdogo huku suruali likiwa limekunjamana Utafikiri lilikaliwa na abiria au uliweka kichwani ulipokuwa umelala usiku au Utafikiri ulilala nalo kwenye Mkeka .
Hata namna ya kukaa tu kwenye kiti uwapo mahali popote pale kuna mikao yake. Na siyo unakaa kwenye kiti mbele ya Camera utafikiri unaoto moto .umetandaza miguu Utafikiri upo Mwenyewe. Kiongozi wewe ni wa mfano na hivyo inahitaji umakini sana.
Sasa ukimuangalia Lissu unaona ni mtu ambaye yupo kishamba sana ,ni mtu ambaye bado ukijiji haujamtoka kichwani. Unajua mtu anaweza akatoka kijijini na kuishi mjini lakini akawa bado ana kijiji na ukijiji kichwani mwake ,akawa bado ana mapori kichwani na akilini yanayohitaji kufyekwa .
Embu Tazama hapa Lissu ambaye ndiye Anajiita Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa .Embu angalia hilo koti lake Utafikiri alipimwa mtu mwingine halafu ndio akashonewa na akavalishwa lissu. Kiukweli Lissu anasikitisha sana. Na hapo ni msomi ambaye amesoma mpaka Ulaya na kuzunguka Ulaya lakini haya ndio Makoti yake anayovaa leo mwaka 2025. Halafu eti anataka awe Rais. Sijui ili amuongoze Nani.
Angalia hapaπView attachment 3252722
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mbona hujajibu hoja?π napoteza muda sasa au unadhani mfyatua tofali huyo kama ww anaweza omba gari ila la kazi sio gari binafsi au mpaka umuone kwenye vibarua
Kuna mashindano ya fashion..?Ndugu zangu Watanzania,
Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na katika tukio lipi na hata muonekano tu wa rangi ya nguo.
Unapokuwa kiongozi mkubwa hata ukataji wako tu wa nywele ni lazima uakisi ukumbwa wa nafasi yako kiuongozi. Siyo kiongozi unakata nywele kihuni huni tu Utafikiri ulitegesha tu kichwa kwa kinyozi anayejifunza kunyoa .huku wewe ukiwa umefumba macho Utafikiri unakwepa vumbi .
Hata ufungaji tu wa mkanda wako kiunoni ni lazima uwe wa makini . Na siyo unafunga suruali Utafikiri mkanda ni mdogo huku suruali likiwa limekunjamana Utafikiri lilikaliwa na abiria au uliweka kichwani ulipokuwa umelala usiku au Utafikiri ulilala nalo kwenye Mkeka .
Hata namna ya kukaa tu kwenye kiti uwapo mahali popote pale kuna mikao yake. Na siyo unakaa kwenye kiti mbele ya Camera utafikiri unaoto moto .umetandaza miguu Utafikiri upo Mwenyewe. Kiongozi wewe ni wa mfano na hivyo inahitaji umakini sana.
Sasa ukimuangalia Lissu unaona ni mtu ambaye yupo kishamba sana ,ni mtu ambaye bado ukijiji haujamtoka kichwani. Unajua mtu anaweza akatoka kijijini na kuishi mjini lakini akawa bado ana kijiji na ukijiji kichwani mwake ,akawa bado ana mapori kichwani na akilini yanayohitaji kufyekwa .
Embu Tazama hapa Lissu ambaye ndiye Anajiita Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa .Embu angalia hilo koti lake Utafikiri alipimwa mtu mwingine halafu ndio akashonewa na akavalishwa lissu. Kiukweli Lissu anasikitisha sana. Na hapo ni msomi ambaye amesoma mpaka Ulaya na kuzunguka Ulaya lakini haya ndio Makoti yake anayovaa leo mwaka 2025. Halafu eti anataka awe Rais. Sijui ili amuongoze Nani.
Angalia hapaπView attachment 3252722
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lete picha hapa Magufuli wa 2016 na kuendelea akiwa kavaa oversize!magu kapiga oversize hadi akiwa ikulu
magu kapiga oversize hadi kanzu
utetezi wako hauna maana
OnyeshaKwani wewe ni kipofu au moshi umekupofua akili na macho
Ungekuwa Great thinker ungejadili idea ya No reform no Election.Mshaurini kiongozi wenu
Sasa wewe, sisi ndio tunajua wewe ni Mke wake mpendwa badala ya kuhakikisha unampendezesha mumeo kabla hajatoka nyumbani wewe unakuja kutulalamikia huku, sisi tukusaidie nini.Ndugu zangu Watanzania,
Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na katika tukio lipi na hata muonekano tu wa rangi ya nguo.
Unapokuwa kiongozi mkubwa hata ukataji wako tu wa nywele ni lazima uakisi ukumbwa wa nafasi yako kiuongozi. Siyo kiongozi unakata nywele kihuni huni tu Utafikiri ulitegesha tu kichwa kwa kinyozi anayejifunza kunyoa .huku wewe ukiwa umefumba macho Utafikiri unakwepa vumbi .
Hata ufungaji tu wa mkanda wako kiunoni ni lazima uwe wa makini . Na siyo unafunga suruali Utafikiri mkanda ni mdogo huku suruali likiwa limekunjamana Utafikiri lilikaliwa na abiria au uliweka kichwani ulipokuwa umelala usiku au Utafikiri ulilala nalo kwenye Mkeka .
Hata namna ya kukaa tu kwenye kiti uwapo mahali popote pale kuna mikao yake. Na siyo unakaa kwenye kiti mbele ya Camera utafikiri unaoto moto .umetandaza miguu Utafikiri upo Mwenyewe. Kiongozi wewe ni wa mfano na hivyo inahitaji umakini sana.
Sasa ukimuangalia Lissu unaona ni mtu ambaye yupo kishamba sana ,ni mtu ambaye bado ukijiji haujamtoka kichwani. Unajua mtu anaweza akatoka kijijini na kuishi mjini lakini akawa bado ana kijiji na ukijiji kichwani mwake ,akawa bado ana mapori kichwani na akilini yanayohitaji kufyekwa .
Embu Tazama hapa Lissu ambaye ndiye Anajiita Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa .Embu angalia hilo koti lake Utafikiri alipimwa mtu mwingine halafu ndio akashonewa na akavalishwa lissu. Kiukweli Lissu anasikitisha sana. Na hapo ni msomi ambaye amesoma mpaka Ulaya na kuzunguka Ulaya lakini haya ndio Makoti yake anayovaa leo mwaka 2025. Halafu eti anataka awe Rais. Sijui ili amuongoze Nani.
Angalia hapaπView attachment 3252722
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha dharau zako hapa weweUnataka avae pedo kama unazovaa weweππππ ewwwwww
Acheni huo ujinga wa kujitekenya na kujichekesha wenyeweUngekuwa Great thinker ungejadili idea ya No reform no Election.
Hiyo ni kazi ya mke wakeMshaurini kiongozi wenu.
Kwani ninyi mnaongozwa na mke wake?Hiyo ni kazi ya mke wake
Mama Anavaa kwa mpangilio unaoeleweka na kwa kulingana na tukioKama mnaleta ligi ya kuvaa mnadhani ni kiongozi gani wa kitaifa anayevaa vizuri? Sasa kama hana mshauri wa namna ya kuvaa anapotoka mbele ya hadhira mnataka Lissu avaaje?
TUnaongozwa bwana wako TALKwani ninyi mnaongozwa na mke wake?
Shida akili ndogo sina mudaMbona hujajibu hoja?
Watu wengi wa CCM vichwani hawana akili kabisa ndio maana uwezo wao huwa ni ku deal na vitu vidogo vidogo ambavyo havina maana na hiyo ndio kazi kubwa ya wajingaNdugu zangu Watanzania,