PICHA: Tundu Lissu anavaa kishamba sana utafikiri wanasiasa wa wakati wa ukoloni

Wapinzani hawategemei kodi za wananchi kupata pesa ya kuvaa na kula...
 
wanafanana uvaaji na Yoweri Museveni wa uganda
 
Ukoloni mambo Leo, (Neocolonialism), kwasasa tunatawaliwa kifikra
na ndipo lugha ya unyanyapa na ubaguzi ilipotumika hapa.

Kwamba usipovaa kama watu wa Ulaya, na kwaavile umetembelea na kusomea ulaya basi ww ni Mshamba.

Moja ya kipingamizi cha maendeleo ya watu wa Africa na hapa Tanzania.

Unatufundisha nn ss Vijana?
 
Lisu hata kama angekuwa mshamba wa kiwango gani, kamwe hawezi kufikia ushamba lucas mwashamba, ambaye ushamba wake unaoanzia akilini mpaka mwilini.
 
Kwamba usipovaa kama watu wa Ulaya, na kwaavile umetembelea na kusomea ulaya basi ww ni Mshamba.

Moja ya kipingamizi cha maendeleo ya watu wa Africa na hapa Tanzania.

Unatufundisha nn ss Vijana?
Andika nini au sisi usiharibu lugha yako kwa kukusudia mkuu..
 
Lisu hata kama angekuwa mshamba wa kiwango gani, kamwe hawezi kufikia ushamba lucas mwashamba, ambaye ushamba wake unaoanzia akilini mpaka mwilini.
Embu CHADEMA muungeni mkono mwenyekiti wenu kwa kuanza kuvaa mikoti mirefu ya aina hiyo ya oversize.
 
No reforms no election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…