Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Naona unataka kukaimu nafasi ya mke wa lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikite kwenye hoja ndugu yangu mtanzaniaNaona unataka kukaimu nafasi ya mke wa lissu
sina hasira maana sina muda wa kumdiscuss mtu asubuhi hata mswaki haujapita kinywani jinsi anavyovaaOndoa hapa mahasira yako.
Embu Tazama hapa Lissu ambaye ndiye Anajiita Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa .Embu angalia hilo koti lake Utafikiri alipimwa mtu mwingine halafu ndio akashonewa na akavalishwa lissu. Kiukweli Lissu anasikitisha sana. Na hapo ni msomi ambaye amesoma mpaka Ulaya na kuzunguka Ulaya lakini haya ndio Makoti yake anayovaa leo mwaka 2025. Halafu eti anataka awe Rais. Sijui ili amuongoze Nani.
wanafanana uvaaji na Yoweri Museveni wa ugandaNdugu zangu Watanzania,
Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na katika tukio lipi na hata muonekano tu wa rangi ya nguo.
Unapokuwa kiongozi mkubwa hata ukataji wako tu wa nywele ni lazima uakisi ukumbwa wa nafasi yako kiuongozi. Siyo kiongozi unakata nywele kihuni huni tu Utafikiri ulitegesha tu kichwa kwa kinyozi anayejifunza kunyoa .huku wewe ukiwa umefumba macho Utafikiri unakwepa vumbi .
Hata ufungaji tu wa mkanda wako kiunoni ni lazima uwe wa makini . Na siyo unafunga suruali Utafikiri mkanda ni mdogo huku suruali likiwa limekunjamana Utafikiri lilikaliwa na abiria au uliweka kichwani ulipokuwa umelala usiku au Utafikiri ulilala nalo kwenye Mkeka .
Hata namna ya kukaa tu kwenye kiti uwapo mahali popote pale kuna mikao yake. Na siyo unakaa kwenye kiti mbele ya Camera utafikiri unaoto moto .umetandaza miguu Utafikiri upo Mwenyewe. Kiongozi wewe ni wa mfano na hivyo inahitaji umakini sana.
Sasa ukimuangalia Lissu unaona ni mtu ambaye yupo kishamba sana ,ni mtu ambaye bado ukijiji haujamtoka kichwani. Unajua mtu anaweza akatoka kijijini na kuishi mjini lakini akawa bado ana kijiji na ukijiji kichwani mwake ,akawa bado ana mapori kichwani na akilini yanayohitaji kufyekwa .
Embu Tazama hapa Lissu ambaye ndiye Anajiita Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa .Embu angalia hilo koti lake Utafikiri alipimwa mtu mwingine halafu ndio akashonewa na akavalishwa lissu. Kiukweli Lissu anasikitisha sana. Na hapo ni msomi ambaye amesoma mpaka Ulaya na kuzunguka Ulaya lakini haya ndio Makoti yake anayovaa leo mwaka 2025. Halafu eti anataka awe Rais. Sijui ili amuongoze Nani.
Angalia hapa👎View attachment 3252722
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kama una lala muda wote kama Mgonjwa usifikirie wote wapo hivyo. Wapo wengine kazi wanafanya usiku kucha wakati wewe ukiwa unakoromasina hasira maana sina muda wa kumdiscuss mtu asubuhi hata mswaki haujapita kinywani jinsi anavyovaa
Ukoloni mambo Leo, (Neocolonialism), kwasasa tunatawaliwa kifikra
na ndipo lugha ya unyanyapa na ubaguzi ilipotumika hapa.
Ndugu zangu Watanzania,
Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na katika tukio lipi na hata muonekano tu wa rangi ya nguo.
Unapokuwa kiongozi mkubwa hata ukataji wako tu wa nywele ni lazima uakisi ukumbwa wa nafasi yako kiuongozi. Siyo kiongozi unakata nywele kihuni huni tu Utafikiri ulitegesha tu kichwa kwa kinyozi anayejifunza kunyoa .huku wewe ukiwa umefumba macho Utafikiri unakwepa vumbi .
Hata ufungaji tu wa mkanda wako kiunoni ni lazima uwe wa makini . Na siyo unafunga suruali Utafikiri mkanda ni mdogo huku suruali likiwa limekunjamana Utafikiri lilikaliwa na abiria au uliweka kichwani ulipokuwa umelala usiku au Utafikiri ulilala nalo kwenye Mkeka .
Hata namna ya kukaa tu kwenye kiti uwapo mahali popote pale kuna mikao yake. Na siyo unakaa kwenye kiti mbele ya Camera utafikiri unaoto moto .umetandaza miguu Utafikiri upo Mwenyewe. Kiongozi wewe ni wa mfano na hivyo inahitaji umakini sana.
Sasa ukimuangalia Lissu unaona ni mtu ambaye yupo kishamba sana ,ni mtu ambaye bado ukijiji haujamtoka kichwani. Unajua mtu anaweza akatoka kijijini na kuishi mjini lakini akawa bado ana kijiji na ukijiji kichwani mwake ,akawa bado ana mapori kichwani na akilini yanayohitaji kufyekwa .
Embu Tazama hapa Lissu ambaye ndiye Anajiita Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa .Embu angalia hilo koti lake Utafikiri alipimwa mtu mwingine halafu ndio akashonewa na akavalishwa lissu. Kiukweli Lissu anasikitisha sana. Na hapo ni msomi ambaye amesoma mpaka Ulaya na kuzunguka Ulaya lakini haya ndio Makoti yake anayovaa leo mwaka 2025. Halafu eti anataka awe Rais. Sijui ili amuongoze Nani.
Angalia hapa👎View attachment 3252722
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mkuu ungetuma na picha yako wa Mbalizi tucheke hapa..Embu acha vichekesho basi. Hivi hayo ndio mavazi ya kuonea wivu? Utaiga nini hapo sasa?
Andika nini au sisi usiharibu lugha yako kwa kukusudia mkuu..Kwamba usipovaa kama watu wa Ulaya, na kwaavile umetembelea na kusomea ulaya basi ww ni Mshamba.
Moja ya kipingamizi cha maendeleo ya watu wa Africa na hapa Tanzania.
Unatufundisha nn ss Vijana?
Embu CHADEMA muungeni mkono mwenyekiti wenu kwa kuanza kuvaa mikoti mirefu ya aina hiyo ya oversize.Lisu hata kama angekuwa mshamba wa kiwango gani, kamwe hawezi kufikia ushamba lucas mwashamba, ambaye ushamba wake unaoanzia akilini mpaka mwilini.
huo mkoti wewe una-allergy nao? kwani unampunguzia critical thinking na nguvu ya kupambania anachoamini, politics siyo beauty contest!!Wewe unaona huo mkoti upo sawa?
No reforms no electionNdugu zangu Watanzania,
Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na katika tukio lipi na hata muonekano tu wa rangi ya nguo.
Unapokuwa kiongozi mkubwa hata ukataji wako tu wa nywele ni lazima uakisi ukumbwa wa nafasi yako kiuongozi. Siyo kiongozi unakata nywele kihuni huni tu Utafikiri ulitegesha tu kichwa kwa kinyozi anayejifunza kunyoa .huku wewe ukiwa umefumba macho Utafikiri unakwepa vumbi .
Hata ufungaji tu wa mkanda wako kiunoni ni lazima uwe wa makini . Na siyo unafunga suruali Utafikiri mkanda ni mdogo huku suruali likiwa limekunjamana Utafikiri lilikaliwa na abiria au uliweka kichwani ulipokuwa umelala usiku au Utafikiri ulilala nalo kwenye Mkeka .
Hata namna ya kukaa tu kwenye kiti uwapo mahali popote pale kuna mikao yake. Na siyo unakaa kwenye kiti mbele ya Camera utafikiri unaoto moto .umetandaza miguu Utafikiri upo Mwenyewe. Kiongozi wewe ni wa mfano na hivyo inahitaji umakini sana.
Sasa ukimuangalia Lissu unaona ni mtu ambaye yupo kishamba sana ,ni mtu ambaye bado ukijiji haujamtoka kichwani. Unajua mtu anaweza akatoka kijijini na kuishi mjini lakini akawa bado ana kijiji na ukijiji kichwani mwake ,akawa bado ana mapori kichwani na akilini yanayohitaji kufyekwa .
Embu Tazama hapa Lissu ambaye ndiye Anajiita Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa .Embu angalia hilo koti lake Utafikiri alipimwa mtu mwingine halafu ndio akashonewa na akavalishwa lissu. Kiukweli Lissu anasikitisha sana. Na hapo ni msomi ambaye amesoma mpaka Ulaya na kuzunguka Ulaya lakini haya ndio Makoti yake anayovaa leo mwaka 2025. Halafu eti anataka awe Rais. Sijui ili amuongoze Nani.
Angalia hapa👎View attachment 3252722
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wanaferi kujiaminisha kwa watu. Wangevaa tu magwanda yao yale huwa wanayavaaga. Maana wao ni wanaharakati, sio lazma kila mtu awe na chama cha kuongoza nchi. Hata uhanaharakati ni unyama tu. Wanajipotezea muda.Si wangempima kabla ya kumnunulia
Endeleeni kubweteka na kulala usingizi wa Pono .Mkiamka mtajikuta Watu wamejaa uwanja wa Taifa katika sherehe za Uapisho.No reforms no election
🙏Andika nini au sisi usiharibu lugha yako kwa kukusudia mkuu..
Wanaovaa vizuri wameachieve nini zaidi ya kufunga wala rushwa?Embu acha vichekesho basi. Hivi hayo ndio mavazi ya kuonea wivu? Utaiga nini hapo sasa?
Naona umechanganyikiwa hadi unashindwa kuandika.Wanaovaa vizuri wameachieve nini zaidi ya kufunga wala rushwa?