Linus w slaa
New Member
- Jan 29, 2025
- 4
- 7
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuungana na jopo na mawakil linalomtetea Dk. Wilbroad Slaa anayeshtakiwa kwa makosa ya kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii.