Pre GE2025 PICHA: Tundu Lissu aongezeka jopo la Mawakili kumtetea Dkt. Slaa Kisutu, kesi ya kusambaza taarifa za uongo

Pre GE2025 PICHA: Tundu Lissu aongezeka jopo la Mawakili kumtetea Dkt. Slaa Kisutu, kesi ya kusambaza taarifa za uongo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuungana na jopo na mawakil linalomtetea Dk. Wilbroad Slaa anayeshtakiwa kwa makosa ya kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii.

Safi sn ilitakiwa na Peter Kibatala awepo
 
Yes. But watu wenye akili huwa hawaweki kisasi au hasira ndani. Sisi wanaume huwa hatuweki hiyo kitu. Slaa aliongea mabaya kipindi hicho analamba asali. Lakini haina haja ya kumlipa mabaya. Nadhani Lissu amefanya jambo la hekima na ameonesha ukomavu mkubwa sana.
Sisi hatushangai hao wote walikuwa ni wanachama wa CCM. Mapandikizi yetu ndani ya chadomo.
 
Kwahiyo yale maneno ya Slaa yalitoka kwa Lissu sio…. Sasa mnataka Mbowe aungane na Lissu kwa zile tuhuma nzito alizotoa Slaa??
 
Back
Top Bottom