Picha: Tundu Lissu na Godbless Lema wakutana na Zitto Kabwe na Abdulrahman Kinana kwenye msiba wa Profesa Sarungi

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Naona huu msiba wa Profesa Sarungi unaendelea kukutanisha magwiji mbalimbali wa siasa hapa nchini.

Soma pia: Tundu Lissu afika nyumbani kwa Sarungi kuhani Msiba, wakutana na Mzee Kikwete, wasalimiana

Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa, akiwemo Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu na aliyekuwa kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe wakiwa katika viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam leo Jumatatu Machi 10, 2025 kwa ajili ya kuaga mwili wa Profesa Philemon Sarungi.

LISSU ZITO.png

lissu kinana.png
 
RiP Prof Sarungi....Mama hajaenda hata Karimjee yuko Dom na CCM wake .....vikao khaaaa kweli alitaka kumteka Maria ?
 
huyu mwenye kofia ni nani mbona kama hajapenda kinana kusalimiana na lisu
 
RiP Prof Sarungi....Mama hajaenda hata Karimjee yuko Dom na CCM wake .....vikao khaaaa kweli alitaka kumteka Maria ?
Mlisema hajaenda katika msiba wa mzazi wa waziri wa serikali anayoiongoza, Leo mmekuja na lingine na kesho mtakuja na lingine

Kumbuka CCM ina vikao huko
 
Msibani dak 5 inatosha....sio lazima masaa 10 ya nini ? Kwenye ......aliweza kupita akaenda Handeni....kinyongo tuui
 
Back
Top Bottom