mi sijamshangaa mzee butiku nimekushangaa wewe bibi eclat ulijifiucha wapi huonekani jukwaani?Mzee Butiku bado yuko ngangali
RiP Prof Sarungi....Mama hajaenda hata Karimjee yuko Dom na CCM wake .....vikao khaaaa kweli alitaka kumteka Maria ?Wakuu,
Naona huu msiba wa Profesa Sarungi unaendelea kukutanisha magwiji mbalimbali wa siasa hapa nchini.
Soma pia: Tundu Lissu afika nyumbani kwa Sarungi kuhani Msiba, wakutana na Mzee Kikwete, wasalimiana
Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa, akiwemo Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu na aliyekuwa kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe wakiwa katika viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam leo Jumatatu Machi 10, 2025 kwa ajili ya kuaga mwili wa Profesa Philemon Sarungi.
huyu mwenye kofia ni nani mbona kama hajapenda kinana kusalimiana na lisuWakuu,
Naona huu msiba wa Profesa Sarungi unaendelea kukutanisha magwiji mbalimbali wa siasa hapa nchini.
Soma pia: Tundu Lissu afika nyumbani kwa Sarungi kuhani Msiba, wakutana na Mzee Kikwete, wasalimiana
Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa, akiwemo Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu na aliyekuwa kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe wakiwa katika viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam leo Jumatatu Machi 10, 2025 kwa ajili ya kuaga mwili wa Profesa Philemon Sarungi.
Yeye na warioba Hadi katiba mpya ipatikane ndio watazeeka rasmi!la sivyo hadi 2050 watakuwepo!Mzee Butiku bado yuko ngangali
Huyo ni Butiku mi mwenyewe naona kama anaguna vile.huyu mwenye kofia ni nani mbona kama hajapenda kinana kusalimiana na lisu
Ana machungu ya kuanikwa kwa habari za mr mapeteRiP Prof Sarungi....Mama hajaenda hata Karimjee yuko Dom na CCM wake .....vikao khaaaa kweli alitaka kumteka Maria ?
Mlisema hajaenda katika msiba wa mzazi wa waziri wa serikali anayoiongoza, Leo mmekuja na lingine na kesho mtakuja na lingineRiP Prof Sarungi....Mama hajaenda hata Karimjee yuko Dom na CCM wake .....vikao khaaaa kweli alitaka kumteka Maria ?
Msibani dak 5 inatosha....sio lazima masaa 10 ya nini ? Kwenye ......aliweza kupita akaenda Handeni....kinyongo tuuiMlisema hajaenda katika msiba wa mzazi wa waziri wa serikali anayoiongoza, Leo mmekuja na lingine na kesho mtakuja na lingine
Kumbuka CCM ina vikao huko
HaswaaaaaaaAna machungu ya kuanikwa kwa habari za mr mapete