Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hatari mnoHuko naskia ni balaa zaidi ya Simbawanga. Usiku huu watu wamefunga barabara kumsindikiza Lissu Hotelini.
Kwa hali hii mnategemea ccm ikubali mabadiliko?😂 Hapo huo umati upo kwa ridhaa yao bila vitisho vya dola wala kuhongwa.Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa baada ya Mkutano wa Tunduma Jioni ya leo
View attachment 3285153View attachment 3285154View attachment 3285185
Mengine si lazima sisi kuongeza chumvi ni vema ukajionea mwenyewe.View attachment 3285156
Umemsahau chiembe @thlaatha @lucasmwashamba na ChoiceVariable
No Reform No ElectionIla mkisikia uchaguzi, mnatafuta sababu za kukimbia.
Wanachadema wengi sana wameuawa hapo kwa sababu za Uchaguzi na karibu viongozi wote wa Chadema hapo walifungwa jela akiwemo Mstahiki Meya MwafongoTunduma ndio home, hapo CCM wanapataga shida sana
Yale yale ya 'nyomi' uchaguzi mkuu wa 2015 wakati wa RIP Lowassa akifanya kampeni.Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa baada ya Mkutano wa Tunduma Jioni ya leo
View attachment 3285153View attachment 3285154View attachment 3285185
Mengine si lazima sisi kuongeza chumvi ni vema ukajionea mwenyewe.View attachment 3285156
Kila sehemu Tanzania CCM huwa inapata shida labda sema kwa Wagogo huko Dodoma, sijui walidanganywa nini.Tunduma ndio home, hapo CCM wanapataga shida sana
Wagogo labda safari hii watachangamkaKila sehemu Tanzania CCM huwa inapata shida labda sema kwa Wagogo huko Dodoma sijuo walidanganywa nini.
Kwani ccm ilishinda 2015?Yale yale ya 'nyomi' uchaguzi mkuu wa 2015 wakati wa RIP Lowassa akifanya kampeni.
Matokeo ya uchaguzi yakija mtu kapata kura chache anaishia kulalamika kaibiwa na CCM.
Kukushangilia haina maana wanakuunga mkono.
PatachimbikaSafari hii ni Watanzania dhidi ya Vigogo wa CCM ambao wanatumia Mapolisi kubakia madarakani.
✌️NO REFORMS NO ELECTION✌️
😁😄🤣😂😄🤣😁Uchaguzi ukiwa huruma na haki saa 2 asubuhi mtu anarejea kwao kizi.... Mmm..
😂😂😂