Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Kampeni ya 2020 hiyo mama akiwa msaidizi 🙌🙌🙌Sasa hiyo Mibuyu mpaka ikue si inachukua miaka hadi 80? 🤣🤣🤣🤣CCM muogopeni Mungu.
Kampeni ya 2020 hiyo mama akiwa msaidizi 🙌🙌🙌Sasa hiyo Mibuyu mpaka ikue si inachukua miaka hadi 80? 🤣🤣🤣🤣CCM muogopeni Mungu.
Ndo mana this time tunasema No Reform No Election.Yale yale ya 'nyomi' uchaguzi mkuu wa 2015 wakati wa RIP Lowassa akifanya kampeni.
Matokeo ya uchaguzi yakija mtu kapata kura chache anaishia kulalamika kaibiwa na CCM.
Kukushangilia haina maana wanakuunga mkono.
Ni rahisi sana, angalia picha hii halafu TafakariInatakiwa Oparesheni maalum ya kuwazindua Wagogo nadhani ni vizuri iongozwe na Kamanda machachari Mahinyila.
Sasa hivi ndio naaza kuamini kuwa moshi wa mwenge unapumbaza Wagogo.Kampeni ya 2020 hiyo mama akiwa msaidizi 🙌🙌🙌
Usihangaike na WajingaNdo mana this time tunasema No Reform No Election.
Mmetuibia sana ushindi wetu. Sasa imetosha.
Safari hii kuna No Reform No electionKumbukeni CCM ni ileile na aiyeumba ule wimbo aliona mbali mimi nimemsahau ni nani
Jidanganye, CCM Inawapiga kura tayari, wenye kadi zao tayari kuchinja mtu. CCM tupo tayari watu 12ml.Uchaguzi ukiwa huruma na haki saa 2 asubuhi mtu anarejea kwao kizi.... Mmm..
😂😂😂
Halafu watu hao hao Octoba watampa kura Mama Samia Mgombea wa CCM Urais Chadema mpaka na slogan yenu ya mmeibiwa kura! Ahahahahaha!!Huko naskia ni balaa zaidi ya Simbawanga. Usiku huu watu wamefunga barabara kumsindikiza Lissu Hotelini.
Umejidanganya kibwege sanaJidanganye, CCM Inawapiga kura tayari, wenye kadi zao tayari kuchinja mtu. CCM tupo tayari watu 12ml.
UHURU & HAKI sijui tutafika lini kwenye hiki kijijiUchaguzi ukiwa huruma na haki saa 2 asubuhi mtu anarejea kwao kizi.... Mmm..
😂😂😂
Hakutakuwa na uchaguzi bila reformsHalafu watu hao hao Octoba watampa kura Mama Samia Mgombea wa CCM Urais Chadema mpaka na slogan yenu ya mmeibiwa kura! Ahahahahaha!!
ACHA SIASA!Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa baada ya Mkutano wa Tunduma Jioni ya leo
View attachment 3285153View attachment 3285154View attachment 3285185
Mengine si lazima sisi kuongeza chumvi ni vema ukajionea mwenyewe.View attachment 3285156
Mbona picha zinapigwa upande upande kama za kutengenezwaHii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa baada ya Mkutano wa Tunduma Jioni ya leo
View attachment 3285153View attachment 3285154View attachment 3285185
Mengine si lazima sisi kuongeza chumvi ni vema ukajionea mwenyewe.View attachment 3285156
Ingia You Tube ukajionee hiyo nyomi ya Tunduma.Mbona picha zinapigwa upande upande kama za kutengenezwa
Kwa tume ile na wakuu wa wilaya wenye kazi maalumu ya kuhakikisha CCM inashinda na kutangazwa aliyeshindwa kukimbia ni lazimaIla mkisikia uchaguzi, mnatafuta sababu za kukimbia.
Kama zile za kubeba watu kwa magari?Mbona picha zinapigwa upande upande kama za kutengenezwa