Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,969
Kuna mwanaccm kasema chadema mkitaka kuzoa kura zote mje Mwanza ..Kanda ya ziwa tunasubiri Kwa hamu,Hali ikiwa hivi huyu mzanzibar lazima arudi kwao akalee wajukuu zake
Kuna mwanaccm kasema chadema mkitaka kuzoa kura zote mje Mwanza ..Kanda ya ziwa tunasubiri Kwa hamu,Hali ikiwa hivi huyu mzanzibar lazima arudi kwao akalee wajukuu zake
Kwani akina Luca,Choice na Tlatlah hawajabubujikwa machozi ya wivu?Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa baada ya Mkutano wa Tunduma Jioni ya leo
View attachment 3285153View attachment 3285154View attachment 3285185
Mengine si lazima sisi kuongeza chumvi ni vema ukajionea mwenyewe.View attachment 3285156
Joined 2/3/2025ACHA SIASA!
Tuliweka ratiba ya mikutano ya kila kijiji, watu wa Mwanza waangalie ile RatibaKuna mwanaccm kasema chadema mkitaka kuzoa kura zote mje Mwanza ..
Naiomba nitumie plsTuliweka ratiba ya mikutano ya kila kijiji, watu wa Mwanza waangalie ile Ratiba
Piga wewe urefu urefu halafu lete tulinganisheMbona picha zinapigwa upande upande kama za kutengenezwa
Mkuu tafuta uzi wa ratiba ya mikutano ya chadema, ila ngoja nikusaidie kutafutaNaiomba nitumie pls
Ccm daima samia mitanoHii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa baada ya Mkutano wa Tunduma Jioni ya leo
View attachment 3285153View attachment 3285154View attachment 3285185
Mengine si lazima sisi kuongeza chumvi ni vema ukajionea mwenyewe.View attachment 3285156
😆😆😆Ccm daima samia mitano
Kuna Mzee mmoja huko Rufiji, ni rafiki yangu.Uchaguzi unakua huru na wa haki, ukiwa mpinzani utatafuta sababu ya kuukosoa na inaeleweka.
Baadhi yenu ni sehemu yetu, kazi mliyonayo mbele ya safari sio ya kitoto.Ndo mana this time tunasema No Reform No Election.
Mmetuibia sana ushindi wetu. Sasa imetosha.
Hizi hekaya haziwezi kubadili chochote haziwezi kuongeza hata kura kumi siku ya uchaguzi. Kuna kundi kubwa sana la wasomi wanaoelewa CCM inafanya nini muda huu.Kuna Mzee mmoja huko Rufiji, ni rafiki yangu.
Huyu mzee hajaenda shule,anajua kusoma, kuandika na kuhesabu kwa nguvu ya "Allah" (kwa mujibu wake).
Mtoto wake mkubwa ni kiongozi wa CCM wa Wilaya fulani nchini, na mtoto wake mwingine ni TanPol huko Kanda ya Ziwa.
Mzee nilimuonyesha vipande 8 vya video vikionyesha jinsi CCM wanavyopora uchaguzi.
Alishangaa sana sana na kutaka ukweli toka kwa vijana wake wawili.
Majibu aliyoyapata, yamethibitisha ukweli wa zile video 8, na amekiri wazi kuwa CCM inachokifanya si sahihi.
Mzee wa miaka 78 na ambaye hajabahatika kuona mlango wa darasa ana akili njema sana ya kujua jambo baya na kukiri kuwa ni baya kuliko wewe ambaye ulipata fursa ya kuona mlango wa darasa na kupumbazwa na kufanywa kuwa kipofu wa akili.
Mara khwioooo....tumeibiwaaaa huku mmebana pua!Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa baada ya Mkutano wa Tunduma Jioni ya leo
View attachment 3285153View attachment 3285154View attachment 3285185
Mengine si lazima sisi kuongeza chumvi ni vema ukajionea mwenyewe.View attachment 3285156
Ila mkisikia uchaguzi, mnatafuta sababu za kukimbia.
Huko naskia ni balaa zaidi ya Simbawanga. Usiku huu watu wamefunga barabara kumsindikiza Lissu Hotelini.
Kanyonyeshe mutoto acha kudangaahhMara khwioooo....tumeibiwaaaa huku mmebana pua!
Huyu jamaa anakubalika sana. Kungekuwepo na tume huru ya uchaguzi, na pia polisi kuacha kutumiwa na ccm; aisee saa mbili tu asubuhi mwamba angetangazwa kuwa Rais wa Tanganyika huru.Uchaguzi ukiwa huruma na haki saa 2 asubuhi mtu anarejea kwao kizi.... Mmm..
😂😂😂