LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Ndo maana hawataki kulisikia neno tume huru ya uchaguzi..Tunduma ndio home, hapo CCM wanapataga shida sana
Ndo maana hawataki kulisikia neno tume huru ya uchaguzi..Tunduma ndio home, hapo CCM wanapataga shida sana
Kinachofanyika kwenye chaguzi wote huwa tunakiona, nadhani bado mnaamini wananchi ni wajinga hawajui lolote. Huenda huu uoga wa watanzania kuhusu uchafu unaofanyika kwenye chaguzi ili ccm kutangazwa washindi kwa shuruti, mnachukulia ni watu kutokujua ukweli, ama kuridhika na ushenzi huo.Uchaguzi unakua huru na wa haki, ukiwa mpinzani utatafuta sababu ya kuukosoa na inaeleweka.
Mikoa yote ya watu maskini CCM inavuna kura nyingi sana.Wagogo labda safari hii watachangamka
Ahahahahaha!!Hakutakuwa na uchaguzi bila reforms
Kumbuka hapa kinachotafutwa siyo kura ni uchaguzi kuwa wa haki,hilo tu.Ila mkisikia uchaguzi, mnatafuta sababu za kukimbia.
Njoo nikupae naona matako mku**ndu unakucheza...Kanyonyeshe mutoto acha kudangaahh
Kama ilivyo ada, nyomi hizo zinatia matumaini mema. Lakini hizi nyomi ni lazima/shurti kabisa ziende sambamba na juhudi za mitaani, vijijini, vitongojini. Huko ndiko kuliko na kazi kubwa sana ya kuwashawishi wananchi wajue HAKI zao na WAJIBU wao katika uongozi wa nchi yetu.Mengine si lazima sisi kuongeza chumvi ni vema ukajionea mwenyewe.
Naomba hili wazo lipewe uzito wake stahiki.Wasimamizi wasiwe watumishi wa Serikali. Vijana wasio na ajira ambao ni graduates wako 200,000 na ushehe watumike kusimamia uchaguzi ujao
Unatafuta majibizano na maiti?Kwani ccm ilishinda 2015?
Mkakati wa sasa uwe wa kuwafuata wananchi wa vijijini; Kule wananchi hawana mwamko kama mijini!Uchaguzi ukiwa huru na haki saa 2 asubuhi mtu anarejea kwao kizi.... Mmm..
😂😂😂
Isisahaulike, CHADEMA inao wajibu wa kuwaenzi na kuwakumbuka mashujaa wake wote walio poteza maisha yao katika mapambano na CCM na serikali zake zote. Msipo utimiza wajibu wenu huo kama chama mtakuwa mumepungukiwa sana.Wanachadema wengi sana wameuawa hapo kwa sababu za Uchaguzi na karibu viongozi wote wa Chadema hapo walifungwa jela akiwemo Mstahiki Meya Mwafongo
EL ndo alishinda, sema wizi ulipindua uhalisiaYale yale ya 'nyomi' uchaguzi mkuu wa 2015 wakati wa RIP Lowassa akifanya kampeni.
Matokeo ya uchaguzi yakija mtu kapata kura chache anaishia kulalamika kaibiwa na CCM.
Kukushangilia haina maana wanakuunga mkono.
Acha ujinga basi, watu walalamika uchaguzi kuchakachuliwa wewe unaleta ngonjera gani hapa? Usitufanye wajinga bwanaYale yale ya 'nyomi' uchaguzi mkuu wa 2015 wakati wa RIP Lowassa akifanya kampeni.
Matokeo ya uchaguzi yakija mtu kapata kura chache anaishia kulalamika kaibiwa na CCM.
Kukushangilia haina maana wanakuunga mkono.
nakazia👿Safari hii ni Watanzania dhidi ya Vigogo wa CCM ambao wanatumia Mapolisi kubakia madarakani.
✌️NO REFORMS NO ELECTION✌️
Maguruwe unapajuaTunduma ndio home, hapo CCM wanapataga shida sana