GE2025 PICHA:Uchambuzi, Historia na Uelekeo wa kampeni za Uchaguzi mkuu 2025

GE2025 PICHA:Uchambuzi, Historia na Uelekeo wa kampeni za Uchaguzi mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo lenye nguvu, pigo takatifu.
 
Tunaendelea kusonga mbele na Mama SAMIA.
Ila huyu mama hajui kuongea ki kampeni! Anaongea utafikri amelazimishwa na mzee hafudhu! Niwaambie tu, Tundu Lissu angekuwa ulingoni huyu mama angekata moto jukwaani!
 
Back
Top Bottom