halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,096
- 5,254
Umenikumbusha lecture wangu mmoja pale Muhas anaitwa 'kisenge' dah jamaa alikuwa mtata sana kama huna discipline
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo alikuwa na mambo ya kisenge?Umenikumbusha lecture wangu mmoja pale Muhas anaitwa 'kisenge' dah jamaa alikuwa mtata sana kama huna discipline
Ofcoz alikuwa na 'use.nge' mwingi kama jina lake [emoji1] [emoji1]Kwa hiyo alikuwa na mambo ya kisenge?
😛😛😛Ofcoz alikuwa na 'use.nge' mwingi kama jina lake [emoji1] [emoji1]
Hiyo ndio lugha gani?kisenge maana yake ni NO au hapana au hakuna
Ekisenge kinene nyooEkisenge ni Chumba
Ekisenge kinene- Chumba kikubwa (Hall)
kisenge maana yake ni NO au hapana au hakuna
hahahahha hahhaahhahaSi ndio hapo sasa!? Kila mtu anasema lake acheni mukisenge bhaana! Lol!
Poa poa mkuu, watu sometimes wanakumbuka mambo ya vile vikundi vya kitapeli vya miaka ileAm jocking bwana ni mtanzania aliyeanzisha business akakwama baada ya mizgo ya watu kuchelewa wakawa na hofu wanashtushwa.kuona.anawalipa ambao walidhani wamelizwa japo kuna majungu ya kumchafua huyu mtu ambaye ni mimi
Umenikumbusha lecture wangu mmoja pale Muhas anaitwa 'kisenge' dah jamaa alikuwa mtata sana kama huna discipline