Dejavu
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,568
- 3,427
Kaka kisenge ni room na kifala ina maana gani?Kisenge ni room.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka kisenge ni room na kifala ina maana gani?Kisenge ni room.
Kifala ina maana kitu kama swali lako.Kaka kisenge ni room na kifala ina maana gani?
Naona hata Jibu lako limekuwa la kifala.Kifala ina maana kitu kama swali lako.
Swali lako ni la kifala.
Ila ufala wako umezidi.Naona hata Jibu lako limekuwa la kifala.
Kwa hiyo Mimi na wewe ni mafala sana. Ha ha ha ha
Ndio ufala wenyewe huo na kwa vile na wewe umechangia ufala ambao haumo hata kwenye neno la kiganda basi umekuwa fala.Ila ufala wako umezidi.
Umefanya neno lisilo la Kiganda liwe mjadala katika mjadala wa maneno ya Kiganda.
Kumulika ufala kama ufala hakuwezi kuwa ufala.Ndio ufala wenyewe huo na kwa vile na wewe umechangia ufala ambao haumo hata kwenye neno la kiganda basi umekuwa fala.
Japokuwa ufala wangu umezidi ila Jibu kamili wote Mimi na wewe ni mafala.
Basi kwa vile unajadili ufala na fala mwenyewe na wewe ni fala mkuu.Kumulika ufala kama ufala hakuwezi kuwa ufala.
Kusema kwamba kumulika ufala ni ni ufala, ni ufala.
Kujadiki ufala kwa kuuonesha kwamba huu ni ufala si ufala.Basi kwa vile unajadili ufala na fala mwenyewe na wewe ni fala mkuu.
Uache ufala kwa kujadili ufala na fala kama Mimi Lakini ukiendelea utakuwa ufala.
Kajifunze kwanza kuandika au edit maandishi yako hayaeleweki... Means unaandika ufala sasa naona umekuwa official fala.Kujadiki ufala kwa kuuonesha jwamba huu ninufala si ufala.
Kung'ang'ania kusema kujadikibufala kwa kuuonesha huu nibufala ni ufala squared.
Wewe unayechanganya mambo ya Kiganda na Kiswahili ni fala kubuhu.Kajifunze kwanza kuandika au edit maandishi yako hayaeleweki... Means unaandika ufala sasa naona umekuwa official fala.
Kwani unadhani Mimi nabisha kuwa sio fala... Nafurahi tu maana nimepata fala mwenzangu wa kujadiliana nae ufala wangu....! Ha ha ha haWewe unayechanganya mambo ya Kiganda na Kiswahili ni fala kubuhu.
Nami nilikuwa sijui hii.kisenge maana yake ni NO au hapana au hakuna