Picha; Uganda hili neno "kisenge" lina maana gani kwenu?

Kisenge = chumba
Watu wenye akili timamu kwa kutumia hata lugha ya mandhari si mtakuwa mnaona aliesema "kisenge =no or hapana " ni pathological liar? Kwa hiyo hiyo sehemu neno ambalo hutajwa sana ni " hapana, no "??!!!!

Mi ni mtu wa kanda ya ziwa I know many Ugandan tribal languages
 
Na watu waloelezea "mukisenge =chumbani"wako ssahihi. Actually ndivyo hilo neno hutumika mara nyingi.
Lakini hata hutumika kama " Omukisenge, omuchisenje " ( kulingana na matamshi ya kabila husika), kumaanisha =" chumbani " ktk maongezi ya kawaida
 
Si ndio hapo sasa!? Kila mtu anasema lake acheni mukisenge bhaana! Lol!

Hiyo ndo maana ya " akili za kuambiwa..."
Alisema inaamanisha " no, hapana " anamaanisha kwamba hiyo sehemu wanasema "no, happana, hakuna " kila mara!!! Unashindwa hata kutumia lugha ya mandhari? Ukienda lodge or hotel utagemea neno utakalolisikia likirudiwa sana ni lipi kati ya haya " room=kisenge au hapana"!!
 
Lisenge= ukuta Wa chumba kwa kisukuma, so huko Uganda kisenge labda itakuwa chumba
 
Unaweza fanyiwa usenge chumbani..
Gest ya hivyo silali hata kwa ngumi
 
A room at the top of a house
under the roof
 

we zetu wana maana tofauti hata katika matamshi la ilo neno sis wabongo tunatamka kama lilivo yani "kisenge" ila wenzetu wako tofauti popote penye neni "ki"linatamkwa kama "chi" sasa inakuwa sio kisenge ila lina tamkwa chisenge. Maana yake sijui.
 
NIMEPATA JIBU LA SWALI LAKO NA MAANA YA NENO KISENGE NI KITANDA!
 
mbona mnapishana kwenye tafsiri mara KISENGE ni chumbani mwingine anasema NO tutaelewaje. au hamjatoa Bukoba maana ndio mnaweza mkaelewa iyo lugha nasikia wa bukoba wanaelewana na waganda

Uganda kuna makabila tofauti, kihaya kinaendana kimatamishi na kinyankole(kabila analotoka mseven) hiyo lugha hapo ni kiganda(kabila la baganda) wahaya wnaoweza kuisikia vizuri ni wale wenye muingiliano na watu wa uganda hasa hasa maeneo ya kyaka kuvuka mto. Kwa hiyo lugha iliyoongelwa hapo sio maarufu kwa wahaya wengi. ILA KISENGE MAANA YAKE NI CHUMBA.
 
Mnajua maana ya ba.kw.a.ta kiuganda?

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…